Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mashabiki acha kulalamika. Man U iliyocheza jana ndo niliyokuwa nataka huoni hata ollachuga OC first half alikuwa anachungulia yaani Kazi kazi, wolves shots on target chache sana walipata bahati maana ule mpira ungekuwa usawa wa kuingia bila kugonga mwamba De gea angefanya yake.

Inshu ya pogba kumbuka penati haina ubabe!

Kwangu mimi niliona timu iko poaa kazi kazi dk 90. Ila huyu Shaw Bana angetuliza na kufumua ili tupate usingizi vizuri.

I was happy na mchomoko wa David James, Kazi kazi Wan Bissaka. Chuma Lindelof na Maguire safi sana yaani hawaingii kupitia katikati bali pembeni ila mara nyingi upande wa wan Bissaka mpinzani hafui dafu.

Hata kama tumedroo i am happy maana nilichoka kuona magarasa ya young, smallling, Jones yanaleta mpira golini bila sababu.

Kuhusu martial naona dogo anabadilika taratibu goli safi. Kukosa nafasi duh mpira unadunda.

All in all! Mpira uko poah tukiendeleza soka hilo hilo daily huku forward ikisahihisha makosa Guardiola na Klopp watakuwa na presha.

GGMu
 
Hivi uliangalia goli la rah sterling alilokataliwa, lilizidi bega kidogo japo mkono ndo ulitangulia zaidi

Lile goli halikuwa na tatizo lolote ila refa alilikataa kimakosa na hiyo ni kawaida tu kwenye Mpira refa kukataa Magoli halali na Akayakubali Magoli Batili ya offside au kushika kwa Mkono.
 
Kwenye darasa la vilaza lazima awepo namba mmoja pia

Standard yetu imeshuka chini sana kama Lingard anakuwa man of match Kwa like kiwango

Kanishangaza sana jana yupo ndani ya 18 kapoteza nafasi mbili za wazi
 
Duh...... Hii ni sheria iliyobereshwa ambayo imeanza kutumika msimu huu Mkuuu

Sheria ya 11 katika sheria za Mpira inasema hivi: "A player is in an offside position if any of their body parts, except the hands and arms, are in the opponents' half of the pitch, and closer to the opponents' goal line than both the ball and the second-last opponent (the last opponent is usually, but not necessarily, the goalkeeper)".

Hiyo ni sheria ya miaka mingi tokea ilipoanza kutumika sheria ya offside na si ya msimu huu.

Mkono hauwezi kuwa offside kwasababu hauchezi mpira wala haufungi kwani ukigusa tu ni Handball.
 
Kwahiyo VAR ilidanganya kuweka wekundu kwenye bega?
Lile goli halikuwa na tatizo lolote ila refa alilikataa kimakosa na hiyo ni kawaida tu kwenye Mpira refa kukataa Magoli halali na Akayakubali Magoli Batili ya offside au kushika kwa Mkono.
 
Naiona VAR ya Uingereza ni moto Hahahaha hadi Rula kupima, kuzoom, kucheki vizuri tena kwa muda sahihi! Dah!

Nadhani ile offside ya Chelsea vs Cardiff imeleta umakini zaidi ili kujenga ligi makini, yenye ushindani sana.

GGMU
 
Ni lini ole alisema penalti zinapigwa na rashford?

Navyojua mpigaji penalti wa man u ni pogba na katika interview ya mechi ya chelsea rash alisema wapiga penalti wana rotate ili kuepusha timu pinzani kukariri mpiga penalti mmoja na ndio maana akapewa ile penalti ya chelsea.

Sometimes tupunguze ushabiki jamani.
Jana OGS kasema wapiga penati aliowapa jukumu wapige ni Rashy na Paul

Lakini naona kama anamtetea Paul kiaina

By the way, msimu wa mwaka jana tu Paul amekosa penati takribani 4, kwahiyo si mpiga penati mzuri kiivyo

Nadhani United wana wapiga penati wengi wazuri kuliko Paul, lakini kwa sababu Paul ni Paul..... Always ata act kama Paul
 
Sheria ya 11 katika sheria za Mpira inasema hivi: "A player is in an offside position if any of their body parts, except the hands and arms, are in the opponents' half of the pitch, and closer to the opponents' goal line than both the ball and the second-last opponent (the last opponent is usually, but not necessarily, the goalkeeper)".

Hiyo ni sheria ya miaka mingi tokea ilipoanza kutumika sheria ya offside na si ya msimu huu.

Mkono hauwezi kuwa offside kwasababu hauchezi mpira wala haufungi kwani ukigusa tu ni Handball.
Nimejifunza kitu hapa
 
Hivi Mtu anaposema "Tungepata kuwanunua Bruno Fernandez, Eriksen na Dyabala" ambapo tayari ameshasajiliwa Bissaka na Maguire huwa anazungumzia mpira wa Ulaya au wa Bongo? Hebu afanye majumuisho ya Kimakisio ya hela za hao wachezaji.
Dyabala angeweza kuja kwa swap na Lukaku (au kwa hela ya kumuuza Lukaku). Japo mimi sio shabiki wa Dyabala kiivyo

Bruno Fernandez angekubalika na scouts ya Man Utd angekuja, nakumbuka press ya OGS kabla ya mechi ya Chelsea, alisema fedha sio shida, lakini hawakupata wachezaji waliowataka japo hela ilikuwepo

Mfano, tungekuwa tupo champions league Sancho angesajiliwa

Ericksen au Bruno, hakuna namna tungeweza kuwasajili wote, lakini sio kwa sababu ya fedha ila ni kwa sababu ya wote wanacheza position moja
 
Kasome kwa umakini sio kiungo chochote, bali kiungo kinachoweza kufunga goli halali hivyo kama ni mkono tu (not including bega) sio offside. Nasema hivyo kama refa mbobezi
Nimefuatilia, nime confirm upo sahihi
 
Bado pogba ni mhimiri wa timu walau ungeniambia scott alijaribu kuharibu baadhi ya mipira ya wapinzani yaani lingard awe man of the match? Acha utani je na AWB?
Mkuu umehesabu mipira aliyopoteza Pogba?

Lingard ni kama Ji Sung Park enzi hizo au Darren Fletcher, unsung heroes

Pia Pogba alicheza vizuri, lakini kimchango dogo Lingard alicheza sana

Scot pia alicheza vizuri mkuu
 
Mashabiki acha kulalamika. Man U iliyocheza jana ndo niliyokuwa nataka huoni hata ollachuga OC first half alikuwa anachungulia yaani Kazi kazi, wolves shots on target chache sana walipata bahati maana ule mpira ungekuwa usawa wa kuingia bila kugonga mwamba De gea angefanya yake.

Inshu ya pogba kumbuka penati haina ubabe!

Kwangu mimi niliona timu iko poaa kazi kazi dk 90. Ila huyu Shaw Bana angetuliza na kufumua ili tupate usingizi vizuri.

I was happy na mchomoko wa David James, Kazi kazi Wan Bissaka. Chuma Lindelof na Maguire safi sana yaani hawaingii kupitia katikati bali pembeni ila mara nyingi upande wa wan Bissaka mpinzani hafui dafu.

Hata kama tumedroo i am happy maana nilichoka kuona magarasa ya young, smallling, Jones yanaleta mpira golini bila sababu.

Kuhusu martial naona dogo anabadilika taratibu goli safi. Kukosa nafasi duh mpira unadunda.

All in all! Mpira uko poah tukiendeleza soka hilo hilo daily huku forward ikisahihisha makosa Guardiola na Klopp watakuwa na presha.

GGMu
Mkuu nakuunga mkono

Watu tunaangalia negatives sana ndio shida
 
Kazi yake ni kuongeza spidi ya kushambulia.Huyo makocha wote waliotangulia lazima wamuanzishe Van gaal,Mourinho n.k.Siyo wa kumbeza hata kidogo labda kwa wewe unayeangali sijui kutuliza sijui bla bla gani ila anawekwa kwa mkakati huo kwanza mengine baadae.Mcheki akipata mpira jinsi anavyoukokota fasta kuelekea lango la wapinzani.Hata mimi kabla nilikuwa bambeza ila baadae nikagundua kazi yake ni ya kipekee sana nikapiga zangu kimya.
The problem ni hao wachezaji ambao anagombania nao namba (Mata,Perreira,) ni wabovu pia,ni ngumu sana Lingard kumuweka benchi mchezaji kama Eriksen,Bernado Silva
 
Ni lini ole alisema penalti zinapigwa na rashford?

Navyojua mpigaji penalti wa man u ni pogba na katika interview ya mechi ya chelsea rash alisema wapiga penalti wana rotate ili kuepusha timu pinzani kukariri mpiga penalti mmoja na ndio maana akapewa ile penalti ya chelsea.

Sometimes tupunguze ushabiki jamani.
Kupunguza ushabiki una maana gani? Tuache kushabikia mpira au kujadili?

Mchango wangu ulitokana na tukio kabla ya kupigwa kwa ile penalty, Rashford ndio alitaka kupiga,Pogba akaenda 'kuililia' na Rashford akamuachia.

Hili la kutokuwa na mpigaji maalumu wa penalty ni jambo jengine linalothibitisha timu ina matatizo. Hata kama wapigaji wanazunguka, huyo Pogba hapaswi kujisogeza kabisa kupiga penalty kwasababu sio mpigaji mzuri.
 
Kanishangaza sana jana yupo ndani ya 18 kapoteza nafasi mbili za wazi
Mkuu naamini utakuwa umecheza mpira kwa kiwango chetu hiki cha makaratasi

Hivi unamlaumu vipi Lingard kukosa goli lile, wakati ilipigwa pasi halafu yule beki Wily Boly akaigusa kubadili mpira welekeo? Sometime tuseme ukweli, kumlaumu dogo kwenye ile nafasi ni kumuonea

Kwenye bulid up ya goli/penati dhidi ya Chelsea, chanzo alikuwa Lingard. Kwenye build up ya goli la jana pia alihusika

Wakati huo huo sioni watu wakimlaumu Martial kwa kupoteza nafasi ile ya kwanza ambapo krosi ilipigwa na Rashy.

Kuna mpira mwingine Martial aliuacha nyuma (japo mimi simlaumu, najua sometime inatokea kwenye soka) na ilikuwa ni nafasi ya goli kabisa. Ule mpira angeuacha Lingard au Lukaku enzi hizo ungesikia oooh first touch mbovu
 
Lile goli halikuwa na tatizo lolote ila refa alilikataa kimakosa na hiyo ni kawaida tu kwenye Mpira refa kukataa Magoli halali na Akayakubali Magoli Batili ya offside au kushika kwa Mkono.
Ile offside ya mwisho mwisho aliyoadhibiwa Martial ilikuwa ni off side?
 
Sheria ya 11 katika sheria za Mpira inasema hivi: "A player is in an offside position if any of their body parts, except the hands and arms, are in the opponents' half of the pitch, and closer to the opponents' goal line than both the ball and the second-last opponent (the last opponent is usually, but not necessarily, the goalkeeper)".

Hiyo ni sheria ya miaka mingi tokea ilipoanza kutumika sheria ya offside na si ya msimu huu.

Mkono hauwezi kuwa offside kwasababu hauchezi mpira wala haufungi kwani ukigusa tu ni Handball.
Nimefuatilia nimegundua upo sahihi,

Lakini kwa miaka mingi ya kuangalia soka nimeona mchezaji akiadhibiwa kama yupo offside kwa kuwa tu kamkono kamezidi
 
Back
Top Bottom