Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Taja wakiwa Sporting na Everton!!!!

Nikisema nikutajie orodha ya wachezaji wenye kariba ya Cr7 yule wa Sporting Lisbon (Kwa maana ya umri wake kipindi yupo sporting Lisbon ) wapo lukuki ... Ukisema nikutajie cr7 wa Manchester united na real Madrid hataweza kutokea tena ...

Sasa nikuulize wewe unataka nikutajie Ronaldo yupi kati ya hao Wawili ?? ...

NB : Sisi tulimsajili cr7 wa kariba ya Sporting Lisbon na Sio real Madrid .. Na kusajili pia inabidi tusajili cr7 wa kariba ya Sporting Lisbon ..

Logic hii hii ioanishe pia kwa Rooney.

Niko tayari kuja na maelezo zaidi ukihitaji.

Warmest Regards.
 
Bado hatujaelewana Mkuu!

Kuna mahali umembeza Zaha,
Ukikumbushia uwepo Wa akina Rooney na Cr7

Nikakuambia jambo la maana,
Soko na vipaji vyabwachezaji Wa sasa vimeharibiwa mno!

Wachezaji kariba ya Rooney, Cr7
Bei zao hazitajiki na wala hawapo kwa sasa!
Umenifananisha na mtu mwingine, ni kweli kuhusu Zaha simwamini lakini hiyo conversation nyingine siyo yangu

Anyway akina CR7 na Rooney watabaki kuwa wao tu lakini haimaanishi hakuna vipaji vingine sokoni, na sio lazima hivi vipaji viwe na ufanano kiuchezaji na wale waliopita

Walikuwepo akina Pele, Charlton, Maradona, Zico

Lakini kwa sasa kuna akina CR7, Messi na wengineo, hapo kati Walikuwepo akina Zizou na Dinho

Sasa hivi kuna watu wapo, japo hawajafikia bado uwezo wa akina CR7. Mfano Neymar (angeacha utoto) , Hazard

Kuna watoto wanakuja, akina Karamoko Dembele(tembelea academy ya Celtic, juzi amepewa debut kwenye ligi), akina Joao Felix n.k

Vipaji havitaisha mkuu, tuombe uzima tu
 
Dembele sawa Mkuu!
Wala hujafanya kosa kujibu mkuu!

Tukubaliane na mahitaji ya soko la wachezaji!

Kwa tulipofikia
Tunahitaji wachezaji gani?

Naheshimu Mawazo yako pia ila amini ninachokwambia ... Mbape ana uwezo wa kawaida mno , acha kumlinganisha na Loionel Messi "La Pulga"...

Kitendo cha kusema kuwa Mbape anafuata nyayo za Messi huku ni kututukana hadharani... Bodaboda haikimbizi treni.. Mbape ni Bodaboda na messi ni pikipiki.

Kwa umri wa mbape Messi alikuwa ameshafanya mambo makubwa ambayo hata wewe mpaka kizaZi chako cha 10 hakitakuja kushuhidia kiumbe mwingine Mwenye huo uwezo ..

Let's End the story this, ukiniwekea mchezaji kutoka EPL kama hazard na mbape kutoka ligi ya ndondo cup .. Nambeba Hazard ... Huu ni mtazamo wangu.

Huyo mbape mlinganishe na wakina Lingard.
hahahaaa! We noma sana.
 
Dembele sawa Mkuu!
Wala hujafanya kosa kujibu mkuu!

Tukubaliane na mahitaji ya soko la wachezaji!

Kwa tulipofikia
Tunahitaji wachezaji gani?
Kwa sasa tunahitaji wachezaji wenye vipaji lakini wanaojituma, sio wanaocheza ki father, sio wanaodhani wao ni wakubwa kuliko Club, si ma instagrmmer, sio wapenda publicity, sio wanaoiongelea Real Madrid wakati wapo United. Tunahitaji wachezaji wenye attitude ya kufia timu.

Namba zinazohitaji wachezaji pale United ni karibu zote ila hapa nitaweka vipaumbele.

Ni winger ya kulia, (ikibidi hata kushoto), midfielder angalau mmoja anayekichafua pale kati, (tukipata 2 itasaidia zaidi maana Herrera ameondoka ), midfielder mchezeshaji pia anahitajika (tunamtegemea sana Pogba kwenye creativity).

Pia tunahitaji Central Defender angalau 1 (tukipata 2 itafaa zaidi), pia tunahitaji full back angalau mmoja hasa wa upande wa kulia

Wachezaji Winger: Pepe, Ziyeck, (tukipata winger mzuri asiye na jina pia sio mbaya)

Midfielder mchafuaji: Pellegrin wa Roma, Partey wa Atletico, Ndidi, Neves, (au mwingine yoyote mwenye uwezo asiye na jina)

Midfielder mchezeshaji: Bruno Fernandes, Ndombele, Madison, Ericksen n.k

Beki wa kati: Koullibaly, Maguire, Toby, (kipaji chochote kilichojificha huko mafichoni)

Beki wa pembeni: Bissaka, Munier, Concelo, Ssegnon, (kipaji kilichojificha huko mafichoni)
 
Juventus wanakaribia kumsajili Sergej Milinkovic Savic ,Toni Kroos ameongeza mkataba Real Madrid na PSG wanakaribia kumsajili Alan toka Napoli so kuna posibility kubwa ya Pogba kubaki United.Timu ambazo zilikuwa zinataka kumsajili Pogba ni PSG,Juventus na Real Madrid
 
Taja wakiwa Sporting na Everton!!!!
Hahaha Wamejaaaaa tereeeeee kwenye average clubs Kijana ... Fuatilia hizi league ..

1.Ligi ya Uholanzi

2. Belgium

3. German ( Hususan timu ya Leverkusen, Stuttgart na Wazee Mercedes )

4. Italy.

5. Brazil

6. Ile ulaya mashariki yoooote (Sebia , Czech, etc)

Halafu uje hapa uniambie hakuna wachezaji kama cr7 na r10 wa Everton na sporting Lisbon....

Wachezaji wako saaaana issue ni Manchester united umebadiri Sera za usahiri kutoka kusajiri Average players na wengine wasio na majina kama chicharito na kuhamia katika Sera za kusajiri Majina makubwa ... Ile scouting ya Manchester chini ya Kaka yake Sir Fergie Haipo tena...

Ukiicheki Ajax na timu yake nzima utaelewa ninachokizungumza... Ukiicheki Atalanta utajua ninachozungumza...
 
Huyu Odegaard si yule Norwegian aliyekuwa Madrid

Siku hizi yupo Ufaransa kumbe

Rice simkubali kiivyo, kwangu badala yake bora awekwe Neves/Ndidi/Partey,

Ila Pepe ni mtu mwingine yule jamaa

Ndombele naye ni mwiba ila sijui kama ana mpango kucheza Europa League

Lakini hicho kikosi kimesimama mkuu

Ongezea na Gomes na Greenwood reserves
Nimeona mahala release clause ya Thomas partey ni dollar 43.6M nikashangaa united haina habari naye ila imekomaa na declan rice.
 
Juventus wanakaribia kumsajili Sergej Milinkovic Savic ,Toni Kroos ameongeza mkataba Real Madrid na PSG wanakaribia kumsajili Alan toka Napoli so kuna posibility kubwa ya Pogba kubaki United.Timu ambazo zilikuwa zinataka kumsajili Pogba ni PSG,Juventus na Real Madrid
Tumtoe hata kwa mkopo tuanze upya,hana shukrani
 
Ukweli ni kwamba Liverpool haina average players.
Moh Salah
Sadio Mane
Giorgio
Djick
Alison
Fabinho
Firiminho
Hii siyo average squad
Mane,divock,giorgio na firmino wametengenezwa anfield kuwa walivyo sasa. Achilia mbali akina TAA na Robertson. Jamaa nastahili sifa zake hata kama ni mpinzani wet.
 
Sisi Man united tunatakiwa kihakikisha tunawapa mikataba minono akina PP, Sanchez, Lukaku, Rashford, Degea & their company ..ci unaona wameipleka timu yetu kwnye nafasi yetu pendwa ya sita!!

Tusipofanya hivyo msimu ujao tutaburuzwa adi nafasi y kumi...
 
Mane,divock,giorgio na firmino wametengenezwa anfield kuwa walivyo sasa. Achilia mbali akina TAA na Robertson. Jamaa nastahili sifa zake hata kama ni mpinzani wet.
Mane na Giorgio hawakuwa wa kawaida sema walikuwa katika average teams.
Kwa Firiminho na hao defenders ni sahihi jamaa kawabadilisha sana
 
Back
Top Bottom