Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Romero

Bissaka Alderwield Lindelof Shaw

Odegaard Rice Ndombele

Pepe Lukaku D.James

Tukitembea hivi next season huku tukiendelea kujipanga itakuwa poa kwa upande wangu..

De Gea,Pogba wanaweza kuuzwa sitojali..mchukue ndombele wa lyon...odegaard yupo vittesse...pepe yupo lile...Alderwield najua haitakuwa tabu,huku tukiendelea kutafuta damu changa kwenye hiyo nafasi

Meanwhile kikosi chetu cha pili (Substitutions) kinaweza kuwa hivi

Henderson

Tuanzebe Smalling Bailly Dalot

Perreira McTominay Fred

Mata Rashford/Greenwood Martial
 
Umeelewa swali language kweli?
Nitajie wachezaji Wa aina ya Rooney , cr7 waliopo kwenye soko la wachezaji Wa sasa!

Cr7 yuko Pale Italia ... Rooney Yuko pale nchi ya Donald John Trump ... Huyo Babatov yuko kwao anakula pensheni yake ya NSSF.

UNA swali lingine ?
 
Naheshimu Mawazo yako ila nakuomba siku nyingine acha Kumlinganisha Lionel Messi "La Pulga" na vitu vya kijinga jinga ...

Umenikwa sana kama si kunihuzunisha kumlinganisha Messi na huyo mbape. Mbape ana uwezo wa kawaida sana... Tena akija EPL atapotea mapema mno.

Mimi ukiniwekea mezani Eden Hazard na mbape namchukua Eden Hazard ..

Samahani kama nimekukwaza Mkuu ...
Usijali, mi hujanikwaza, haya pia ni mawazo yako. Mimi nimesema Mbappe ni Messi wa baadae siyo Leo. Pia Hazard hawezi kulinhana na Mbappe Mkuu. Yatunze maneno haya kwa miaka minne ijayo.
 
Usijali, mi hujanikwaza, haya pia ni mawazo yako. Mimi nimesema Mbappe ni Messi wa baadae siyo Leo. Pia Hazard hawezi kulinhana na Mbappe Mkuu. Yatunze maneno haya kwa miaka minne ijayo.
Mbappe ni hatari kuliko Hazard
 
Umeelewa swali language kweli?
Nitajie wachezaji Wa aina ya Rooney , cr7 waliopo kwenye soko la wachezaji Wa sasa!
Nikisema nikutajie orodha ya wachezaji wenye kariba ya Cr7 yule wa Sporting Lisbon (Kwa maana ya umri wake kipindi yupo sporting Lisbon ) wapo lukuki ... Ukisema nikutajie cr7 wa Manchester united na real Madrid hataweza kutokea tena ...

Sasa nikuulize wewe unataka nikutajie Ronaldo yupi kati ya hao Wawili ?? ...

NB : Sisi tulimsajili cr7 wa kariba ya Sporting Lisbon na Sio real Madrid .. Na kusajili pia inabidi tusajili cr7 wa kariba ya Sporting Lisbon ..

Logic hii hii ioanishe pia kwa Rooney.

Niko tayari kuja na maelezo zaidi ukihitaji.

Warmest Regards.
 
Usijali, mi hujanikwaza, haya pia ni mawazo yako. Mimi nimesema Mbappe ni Messi wa baadae siyo Leo. Pia Hazard hawezi kulinhana na Mbappe Mkuu. Yatunze maneno haya kwa miaka minne ijayo.
Naheshimu Mawazo yako pia ila amini ninachokwambia ... Mbape ana uwezo wa kawaida mno , acha kumlinganisha na Loionel Messi "La Pulga"...

Kitendo cha kusema kuwa Mbape anafuata nyayo za Messi huku ni kututukana hadharani... Bodaboda haikimbizi treni.. Mbape ni Bodaboda na messi ni pikipiki.

Kwa umri wa mbape Messi alikuwa ameshafanya mambo makubwa ambayo hata wewe mpaka kizaZi chako cha 10 hakitakuja kushuhidia kiumbe mwingine Mwenye huo uwezo ..

Let's End the story this, ukiniwekea mchezaji kutoka EPL kama hazard na mbape kutoka ligi ya ndondo cup .. Nambeba Hazard ... Huu ni mtazamo wangu.

Huyo mbape mlinganishe na wakina Lingard.
 
Romero

Bissaka Alderwield Lindelof Shaw

Odegaard Rice Ndombele

Pepe Lukaku D.James

Tukitembea hivi next season huku tukiendelea kujipanga itakuwa poa kwa upande wangu..

De Gea,Pogba wanaweza kuuzwa sitojali..mchukue ndombele wa lyon...odegaard yupo vittesse...pepe yupo lile...Alderwield najua haitakuwa tabu,huku tukiendelea kutafuta damu changa kwenye hiyo nafasi

Meanwhile kikosi chetu cha pili (Substitutions) kinaweza kuwa hivi

Henderson

Tuanzebe Smalling Bailly Dalot

Perreira McTominay Fred

Mata Rashford/Greenwood Martial
Huyu Odegaard si yule Norwegian aliyekuwa Madrid

Siku hizi yupo Ufaransa kumbe

Rice simkubali kiivyo, kwangu badala yake bora awekwe Neves/Ndidi/Partey,

Ila Pepe ni mtu mwingine yule jamaa

Ndombele naye ni mwiba ila sijui kama ana mpango kucheza Europa League

Lakini hicho kikosi kimesimama mkuu

Ongezea na Gomes na Greenwood reserves
 
Yaah Odegaard ni Norwegian yupo on-loan kutoka madrid...
 
Bado hatujaelewana Mkuu!

Kuna mahali umembeza Zaha,
Ukikumbushia uwepo Wa akina Rooney na Cr7

Nikakuambia jambo la maana,
Soko na vipaji vyabwachezaji Wa sasa vimeharibiwa mno!

Wachezaji kariba ya Rooney, Cr7
Bei zao hazitajiki na wala hawapo kwa sasa!
Berbatov ni ambassador United
 
Back
Top Bottom