Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Duh.... Watu wa Liver mna nyodo. Sawa mkuu nimekomaAcha kutumia our players as an example our philosophy are not the same

Duh.... Watu wa Liver mna nyodo. Sawa mkuu nimekomaAcha kutumia our players as an example our philosophy are not the same

Not good enough to wear a Manchester United shir............kwa sign kama hizi ndio mnategemea next season m compete na Liverpool na Manchester city hahahahahahahahahSky Sports kwa sasa siwaamini sana, lakini ndio vyanzo tulivyonavyo..... Tutafanyaje sasa View attachment 1103633
Hatu compete na Liverpool, tuna compete na City........ We are not for the run upNot good enough to wear a Manchester United shir............kwa sign kama hizi ndio mnategemea next season m compete na Liverpool na Manchester city hahahahahahahahah
Huyu mtu auzwe ili tupate mpunga wa kutosha kuleta wengine mapema.BBC Swahili wanaripotiView attachment 1103647
Ana Quality kweli za kucheza United? Huyu OLe asije akatuletea wachezaji wakucheza legue 1 huko
Mkuu hatuna winga teleza kabisa, huyu mtoto msingi mbio, mechi na city aliwaacha otamendi na walker kama wamesimama, tunahitaji mtu wa kutia njaaa kule pembeni. Hakuna mchezaji yoyote kwenye ligi sasa hivi anayemfikia kwa speed ame peak 37mph na fastest msimu huu tfm ni around 35mph. Pia ni mzuri anakaba. Ana potential ya kuwa mchezaji mkubwa itategemea na atakavyolelewa.Ana Quality kweli za kucheza United? Huyu OLe asije akatuletea wachezaji wakucheza legue 1 huko
Mkuu hatuna winga teleza kabisa, huyu mtoto msingi mbio, mechi na city aliwaacha otamendi na walker kama wamesimama, tunahitaji mtu wa kutia njaaa kule pembeni. Hakuna mchezaji yoyote kwenye ligi sasa hivi anayemfikia kwa speed ame peak 37mph na fastest msimu huu tfm ni around 35mph. Pia ni mzuri anakaba. Ana potential ya kuwa mchezaji mkubwa itategemea na atakavyolelewa.
OLE on the Wheel ngoja tuamini tu ila wengine tunamashaka naeSky Sports kwa sasa siwaamini sana, lakini ndio vyanzo tulivyonavyo..... Tutafanyaje sasa View attachment 1103633
Upo sahihi mkuu, hatuna uhakika naye lakini ngoja tumuone msimu huuOLE on the Wheel ngoja tuamini tu ila wengine tunamashaka nae
Cr7 yuko Pale Italia ... Rooney Yuko pale nchi ya Donald John Trump ... Huyo Babatov yuko kwao anakula pensheni yake ya NSSF.Wako wapi hao akina Cr7
Rooney na Berbatov kwenye market ya sasa?
Historia itatuunguza sana!
mkuu nikiziangalia video zake namuona ndio wale wale ukoo wa theo walcott na oxlade chamberlain pindi walipokuwa na miaka 17 nyakati hizo wapo southampton baadae wakaelekea arsenal, walikuwa ni wazee wa mbio nyingi maarifa kidogoUpo sahihi mkuu, hatuna uhakika naye lakini ngoja tumuone msimu huu
Ndio mkuu, ndio maana tunasema kipaji anacho, lakini suala la kufikia uwezo wa juu hilo ni linginemkuu nikiziangalia video zake namuona ndio wale wale ukoo wa theo walcott na oxlade chamberlain pindi walipokuwa na miaka 17 nyakati hizo wapo southampton baadae wakaelekea arsenal, walikuwa ni wazee wa mbio nyingi maarifa kidogo
kiupande wangu nadhani tatizo halipo kwa bwana mdogo ila tatizo lipo kwa benchi letu la ufundi je wana uwezo wa kumfanya daniel james awe tishio siku za mbeleni?
bado hatujamfahamu ole gunnar solskjaer kiundani, miezi yake mitano aliiyotumikia klabu ametufanya mashabiki wengi nikiwemo na mimi tuwe na sifa za watu wanafiki.
december - february = ole gunnar solskjaer hodari na apewe mkataba mpya
february - may = ed woodward amechemsha kumpa mkataba ole gunnar solskjaer
Bila kusahau 15m kwa soko la sasa ni hela ya madafu.Ndio mkuu, ndio maana tunasema kipaji anacho, lakini suala la kufikia uwezo wa juu hilo ni lingine
Anaweza kuwa Walcott mwingine au Chamberlain lakini pia anaweza kuwa Bale au Sterling mwingine
Nakubali ni ngumu sana kum judge dogo kwa sasa, lakini anaonesha mbali na mbio, ufundi pia anao
Man Utd amewahi kuwa na dogo mmoja kutoka academy, alikuwa anaitwa Morrison, huyu dogo ame graduate na Pogba na Lingard, na katika kile kikosi, dogo aliyekuwa anatajwa hakuwa Pogba, bali ni Morrison lakini mara ya mwisho kumsikia alikuwa Italy huko anahangaika kutafuta timu. Kwahiyo kuna wakati hawa watoto huwa wanakuja kwenye ulimwengu wa soka, halafu wanapotea
Kumchukua huyu dogo, kwangu naona ni risk worth taking
Kama hadi kumchukua mchezaji ambaye tayari ni proven (Kama Sanchez, Dimaria, Falcao, Fred) inakuwa risk, kwanini tusi risk kwa dogo
Isitoshe, sidhani kama tutasajili wachezaji wa sampuli yake tu, naimani tutachanganya na wachezaji ambao tayari wamekamilika
🙌🙌🙌👌👌Ndio mkuu, ndio maana tunasema kipaji anacho, lakini suala la kufikia uwezo wa juu hilo ni lingine
Anaweza kuwa Walcott mwingine au Chamberlain lakini pia anaweza kuwa Bale au Sterling mwingine
Nakubali ni ngumu sana kum judge dogo kwa sasa, lakini anaonesha mbali na mbio, ufundi pia anao
Man Utd amewahi kuwa na dogo mmoja kutoka academy, alikuwa anaitwa Morrison, huyu dogo ame graduate na Pogba na Lingard, na katika kile kikosi, dogo aliyekuwa anatajwa hakuwa Pogba, bali ni Morrison lakini mara ya mwisho kumsikia alikuwa Italy huko anahangaika kutafuta timu. Kwahiyo kuna wakati hawa watoto huwa wanakuja kwenye ulimwengu wa soka, halafu wanapotea
Kumchukua huyu dogo, kwangu naona ni risk worth taking
Kama hadi kumchukua mchezaji ambaye tayari ni proven (Kama Sanchez, Dimaria, Falcao, Fred) inakuwa risk, kwanini tusi risk kwa dogo
Isitoshe, sidhani kama tutasajili wachezaji wa sampuli yake tu, naimani tutachanganya na wachezaji ambao tayari wamekamilika
uzuri wa wachezaji kama hao ni kwamba hata inapotokezea akashindwa kuendana na mdundo wa timu maumivu yanakuwa ni madogo sana ukilinganisha na hawa jamii ya sanchez, di maria, fredBila kusahau 15m kwa soko la sasa ni hela ya madafu.
Hahahaha Asante mkuu
sijawahi kujutia kusoma comment yako humu ndani.
vipi kuhusiana na habari za wilfred zaha?
Mkuu zaha anachezeshwa na mchezaji mmoja ambae nimesikia akitajwa. Kwa upande wangu anaemchezesha zaha ni best(bissaka)🙌🙌🙌👌👌
sijawahi kujutia kusoma comment yako humu ndani.
vipi kuhusiana na habari za wilfred zaha?