SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Samata yupo available
Nakubaliana kutokukubalianaNi Mwingereza.Ila asili yake ni Ivory Coast
Samata anayo nafasi nzuri sana kujitangaza kwenye ECL mwakani. Hata hivyo umri unaenda kasi.Samata yupo available
Nimeona mahala release clause ya Thomas partey ni dollar 43.6M nikashangaa united haina habari naye ila imekomaa na declan rice.

Eti Declan Rice, kisa mwingerezaBado Pogba anaweza kwenda MadridJuventus wanakaribia kumsajili Sergej Milinkovic Savic ,Toni Kroos ameongeza mkataba Real Madrid na PSG wanakaribia kumsajili Alan toka Napoli so kuna posibility kubwa ya Pogba kubaki United.Timu ambazo zilikuwa zinataka kumsajili Pogba ni PSG,Juventus na Real Madrid
Sijui kwanini simkubali kabisa ParteyEti Declan Rice, kisa mwingereza
Na Partey ana miaka 25 tu
HahahahahahaSijui kwanini simkubali kabisa Partey
Ni mzuri pia age yake inampa advantage kubwa zaidi mkuu, but anarelease clause ya 120 mil, kitu ambacho ni kigumu kwa timu kukubali kutoa yote ukizingatia kwa Miaka yake 19 kufail ni rahisi sana kuliko kufanikiwa
Duh huyu anastaili kununuliwa anajicho la 3 hatari
Kwanini?Nakubaliana kutokukubaliana
Kumbuka tunatakiwa kununua wachezaji wa uhakika kama 6 au 7 hivi. Almost kila namba imekufa.Man United hawezi kosa hela ya kumleta Mbape, maana kitita pekee atakachokabidhiwa ni kati ya £200m na £250m
Ameambiwa mchezaji akiuzwa hiyo hela itaongezewa kwenye kitita cha manunuzi
Swali ni kwamba, je hao Mbape wapo tayari kuja OT?
Ligi za Ureno, Ujerumani, Uholanzi unapata wachezaji wazuri kwa fair price na wana talent kama huyo Zaha.Unaweza kuniambia kwa market ilivyochafuka sasa mbadala Wa Zaha??
Rocket price imeharibu soko!
Zaha sio mbaya kama unavyofikiri
Naomba uniwekee wachezaji mbadala ambao wanaweza fit kwenye position ya Zaha!
Nilitegemea utakuja na suluhu
Hiyo ndiyo bajeti inayotajwa kuwa Tajiri yupo tayari kuitoa (£200m-£250m)Kumbuka tunatakiwa kununua wachezaji wa uhakika kama 6 au 7 hivi. Almost kila namba imekufa.
£250M haitoshi kuleta wachezaji wa uhakika wa 4. Labda iwe mara mbili yake.
Hata tungemchukua Poch na akafanya yanayofanyika sahivi mtaishia kusema hamna imani nae.Upo sahihi mkuu, hatuna uhakika naye lakini ngoja tumuone msimu huu
waondoke waende wapi mkuu?Hata tungemchukua Poch na akafanya yanayofanyika sahivi mtaishia kusema hamna imani nae.
As long as nimeshajua matatizo ya United ni wamiliki na CEO Woodward, kila atakachofanya kocha namuunga mkono kwasababu naamini ana nia ya kuifanya United bora.
Ila kama msimu ujao tutaanza tupo na Smalling, Jones na Young sitaangalia mechi yeyote ya United hadi hao jamaa waondoke.
Hao ni namba mbili tofauti kabisa.Mbappe ni hatari kuliko Hazard
Nimesoma Ole anataka kumpa ukapteni Pogba kumshawishi asiondoke.Juventus wanakaribia kumsajili Sergej Milinkovic Savic ,Toni Kroos ameongeza mkataba Real Madrid na PSG wanakaribia kumsajili Alan toka Napoli so kuna posibility kubwa ya Pogba kubaki United.Timu ambazo zilikuwa zinataka kumsajili Pogba ni PSG,Juventus na Real Madrid
What should we learn from those scums? +10yrs without trophyTujifunze sana kinachotokea Liverpool
"Yenye average player lakini wamekutana na chemistry ya mfumo mzuri na msukumo Wa njaa ya mafanikio
Wanacheza kwa kujitoa sana.
?Usajili wa man u ni kichekesho