Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yah ZAHA mnaenda kupigwa tena zaidi ya £ 70 ml hahahahahahahahah
Ngoja tuone.. Hapa ndipo tutajua OLE anataka timu ya aina gani.
Kama chelsea na liverpool walinunua kipa kwa bei hiyo sio maajabu mkuu.
 
Zaha? Utoe £100M kwa ajili yake?

Wakati kwa hiyo hela unapata wachezaji watatu wazuri?

Zaha ni star wa timu ndogo na sio wa United.
Unaweza kuniambia kwa market ilivyochafuka sasa mbadala Wa Zaha??

Rocket price imeharibu soko!

Zaha sio mbaya kama unavyofikiri

Naomba uniwekee wachezaji mbadala ambao wanaweza fit kwenye position ya Zaha!

Nilitegemea utakuja na suluhu
 
Zaha ana kitu kikubwa sana!
Hasa kwa umri wake
Arsenal wako mbele kumhitaji Zaha.. kuna tetesi wako tayari kutoa wachezaji wawili + pesa ili wamchukue.
Hakim Ziyech pia amesema anapenda kucheza Arsenal na yuko tayari kuondoka pale ajax.
 
Home grown talents
Wenye njaa na mafanikio!

Hapo kwenye home grown talents, unamtoaje Zaha?
Kinachomhukumu Zaha pengine rangi yake tu!
Lakini he is one of the best attackers kwa sasa!

Tuache mazoea ya kusema Zaha ni mchezaji Wa timu ndogo!
Ameondoka united akiwa na miaka 21

Nafikiri, maturity ni kubwa sana kwa sasa!
Kweli.. hiyo £100/80M kwa Zaha bora tukusanye hata watano ambao watacheza wanalia uwanjani kuliko huyu mhuni.
Atakuwa kama Pogba tu, atatusumbua.
 
Huyo Zlatani (35) unayemponda, ndio striker aliyefunga Magoli mengi pale United kuliko striker yoyote kwa msimu tangu aondoke Van Persie (29). Na hapo aliumia kabla ya msimu haujaisha

Embu nitajie ni wachezaji wangapi kwenye ligi ya Uingereza waliofunga magoli zaidi ya 29

Zlatan ameondoka, amewaachia vijana nafasi akina Lukaku, Rashford, Martial, wamefunga Magoli mangapi kwa msimu huu, au uliopita. Hakuna cha maana. Angalau hata Lukaku anajitutumua.

Ukiondoa Matic, Sanchez niambie hao wengine wenye umri unaoupendekeza wewe, wameifanyia nini United? Niambie aliyekuwa na 27 alifanya nini, niambie Bailly aliyekuwa na 22 amefanya nini? Vipi kuhusu Pogba (24), Dalot na wengine?

Kwa kigezo chako cha umri, mazingira yakiruhusu usajili Messi (32), Ronaldo (33), Griezeman (28), Aguero n.k utakataa kuwasajili na badala yake utamchukua Odoi, Rashford eti kwa sababu wao ni wadogo? Magoli watakayofunga hao jamaa "wazee" ndani ya misimu 3, itawachukuwa hawa "watoto" pengine carrier yao yote
Afu pia Zlatani alikuja bure pale (Utd free transfer) Mkataba wake ulikuwa umeisha psg akagoma kuongeza......
Ni sawa TU na Herrera anaondoka OT, utd hawatapa na Senti.....
 
Home grown talents
Wenye njaa na mafanikio!
Hapo kwenye home grown talents, unamtoaje Zaha?
Kinachomhukumu Zaha pengine rangi yake tu!
Lakini he is one of the best attackers kwa sasa!
Tuache mazoea ya kusema Zaha ni mchezaji Wa timu ndogo!
Ameondoka united akiwa na miaka 21
Nafikiri, maturity ni kubwa sana kwa sasa!
Kwa mkwanja uliopo wa usajili huwezi kuleta Zaha kwa £100M mkuu.. maana yake nafasi nyingine zibaki kama zilivyo bila usajili.
Huyo zaha ili afiti anahitaji viungo wazuri na isitoshe namba anayocheza zaha kuna Sanchez + Martial.
Tulete watu kama Eriksen, Maddison, Ziyech, Maguire, Pepe, Jota, Ghana.. Then ndio tumuwazie huyu Zaha.
 
Man Utd akinunua Zaha kwa £100m, ina maana atatoa £75m kwa kuwa alipomuuza Cristal Palace aliweka clause ya kupokea 25% ya mkwanja endapo Zaha atauzwa tena

Hata hivyo, huyo dogo hana kiwango cha kuja kuchangia mapinduzi tunayoyataka pale United
 
Sky Sports kwa sasa siwaamini sana, lakini ndio vyanzo tulivyonavyo..... Tutafanyaje sasa
Screenshot_20190521-125107.jpeg
 
Kwa mkwanja uliopo wa usajili huwezi kuleta Zaha kwa £100M mkuu.. maana yake nafasi nyingine zibaki kama zilivyo bila usajili.
Huyo zaha ili afiti anahitaji viungo wazuri na isitoshe namba anayocheza zaha kuna Sanchez + Martial.
Tulete watu kama Eriksen, Maddison, Ziyech, Maguire, Pepe, Jota, Ghana.. Then ndio tumuwazie huyu Zaha.
umemaliza kila kitu
 
Ana Quality kweli za kucheza United? Huyu OLe asije akatuletea wachezaji wakucheza legue 1 huko
Ana potential ya kuwa quality player, ila kwa sasa bado

Mbona akina City wamemchukua Zichenko, mbona akina Robertson wa Liverpool tunawasifia

Na kuchukua huyo dogo haimaanishi hatutasajili proven players
 
Acha kutumia our players as an example our philosophy are not the same
 
Back
Top Bottom