Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna kipindi tukianza kuaminishwa kuwa Zidane ni kocha hatari sana ulaya. ...but kwahali hii zidane na solskjaer hawana tofauti katika mbinu, kilichombeba Zidane time aliyokuwa Madrid ilikuwa ni kuwa na top players waliokuwa wanajua wafanye nn uwanjani nothing else.....

Ole akisajili vizuri atasumbua sana tena sana ulaya ilimradi apate right players tu wanaojituma na wafia timu
 
Mkuu kama Ole ana nia kweli ya kuondoa hizo takataka na Ed anazingua ni bora ajiuzulu kiroho safi tu..maana hakuna atakalolifanya..na hii itatusaidia kuprove kuwa tatizo kubwa ni Ed
Au wewe solution unaona ni ipi??
mtu kama Ole anapata nafasi ya kuwa head coach wa United halafu ajiuzulu....hahahahahaha hapana kwa keli
 
Martial anataka kuaminiwa, apangwe tu hata akivurunda. Anahitaji kujengewa confidence
Ameshapangwa sana, yeye azubae tu akina Chong waje wamnyang'anye namba, si unaona United WANA mpango wa kumleta yule dogo Daniel James aje ampe competition (kulia au kushoto)

Nimeona Sterling anaulizwa na Sky Sports siri ya kiwango chake kukua, anasema kila summer kocha anamletea mtu kwenye namba yake na anajua akizubaa atakaa benchi sana

Sasa mchezaji unachezea club kubwa kama United halafu hutaki competition, NENDA CRISTAL PALACE
 
Kuna kipaji kipya cha mpira ukimwangalia uchezaji wake ni kama mesut ozil tofauti yy na ozil yeye ni mfungaji alafu anacheza mpira wa speed.. Anaitwa Kai havertz ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa ana miaka 19.. Ana magoli 11 kwenye ligi yao na assist 6 hivi ni raia ya ujerimani na ananipiga bayer leverkusen.. hapo man utd hatumuoni huyu kijana tulambe dume kwa bei ya kawaida.. he is very talented young player.. Pengine msimu ujao akitakiwa pesa ndefu itatumika kwa anaye mhitaji.. ningekuwa na uwezo ningepiga simu au ningeshauri tumchukue huyo kijana anacheza ligi kuu ya ujerumani aka Bundesliga... Wadau mtafuteni mulete ushuhuda me niliwahi muona mechi moja kwenye star times live match toka hapo nikasema nimfatilie anakipaji Sana huyo ni *Kai havertz*
apo kwel mkuuu dg noma san huyu
 
Mkuu ni kweli wachezaji wote wana viwango vya juu,na wataweza ku add quality katika team.
Tatizo langu mimi ni umri mchezaji akifikisha umri wa 30 napata tatizo kubwa kumsajili ukiondoa nafasi ya kipa.Toby ni mzuri lakini 30 years ni tatizo kubwa ambalo Jose alililea na kuharibu team pakubwa.

Ni kwanini tusisajili baki wa kati mwenye umri wa kati ya 20 hadi 27 mwisho ?.Ebu nishawishi walau kiduchu mchezaji wa 30 tunampeleka wapi zaidi ya kwenda kuzipa vipaji vya akina Tuazabe na ......
Huwa sikuelewi kila tatizo la United unamuangushia Mourinho,alisajili wachezaji wafuatao na umri wao

Diego Dalot-19,Victor Lindelof-23,Paul Pogba-23,Eric Bailly- 24,Romelu Lukaku- 24,Fred-25,

Henrik Mkhitaryan-27,Nemanja Matic-29,Alexis Sanchez-29,Zlatan Ibrahimovic-35,Lee Grant-35

Kina Smalling,Jones walisajiliwa wakiwa chipukizi kabisa lakini ni miaka 10 now hakuna walichobadilika
 
Mkuu nadhani tukianza kusajili wachezaji wa umri wa 30 ni sawa na kupiga hatua 2 mbele na kurudi hatua 5 nyuma halafu ukajisifu kwamba umesonga mbele.Tofauti ya Toby na Smalling ni ndogo sana tena tutakuja mtukana Ole kwa uzembe wa kusajili baki wa kati mzee ambae hawezi kasi ya EPL.Kama angekuwa free labda tungejaribu lakini kutoa mpunga kwa mchezaji anayemalizia soka lake mimi naona ni risk kubwa sana.
I doubt hata kama unamfahamu Toby tunayemzungumzia,Toby anacheza Spurs na amecheza EPL kwa misimu 5 now
2015-2016 alikuwa kwenye PFA Team of the year sijui unaizungumzia kasi ipi na hawa wenye kasi Smalling,Jones,Rojo wamefanya nini cha ajabu
 
Toby ni mzee..unazungumzua Stats za 2015-2016 wkt tupo 2019..bro hauko serious.
I doubt hata kama unamfahamu Toby tunayemzungumzia,Toby anacheza Spurs na amecheza EPL kwa misimu 5 now
2015-2016 alikuwa kwenye PFA Team of the year sijui unaizungumzia kasi ipi na hawa wenye kasi Smalling,Jones,Rojo wamefanya nini cha ajabu
 
Team haikujaribu "hard enough" kumbakisha, ukisema umri angalia wakati Sanchez wakati anakuja alikua na umri gani na pesa ngapi anakula.

This team doesn't know what they want, there is a saying: "If you don't know where you are going, any way can lead you there".
Pia tabia ya Ed kusubiri mkataba unakaribia kuisha ndio kuanza mazungumzo ya kuongeza mkataba ni makosa ilitokea kwa Fellaini,akaja Valencia,wamekuja Herrera,Mata,De Gea wote wanawasumbua now.Man City Benardo,Laporte walisajiliwa wakacheza msimu mmoja tu wakaongezewa mkataba.Juventus/PSG now wanavizia wachezaji wanaomaliza mikataba yao wanawasijili kiulaini (Ramsey,Emre Can,Khedira,Alves,Buffon)
 
Hata ajitume vipi hawezi kufikia robo ya uwezo wa cr7....


Kwa umri wa martial Cr7 alikuwa ameshafanya MAkubwa hapa duniani
Kuanza au kutokuanza mapema haimfanyi mtu kufikia au kutokufikia potential yake

Quaresma alianza mapema lakini akaishia kuwa mchezaji machachari na si hatari

Zidane alichelewa kung'ara lakini akaishia kuwa mchezaji hatari
 
Huwa sikuelewi kila tatizo la United unamuangushia Mourinho,alisajili wachezaji wafuatao na umri wao

Diego Dalot-19,Victor Lindelof-23,Paul Pogba-23,Eric Bailly- 24,Romelu Lukaku- 24,Fred-25,

Henrik Mkhitaryan-27,Nemanja Matic-29,Alexis Sanchez-29,Zlatan Ibrahimovic-35,Lee Grant-35

Kina Smalling,Jones walisajiliwa wakiwa chipukizi kabisa lakini ni miaka 10 now hakuna walichobadilika
Na katika wachezaji wote hao, Zlatani (34) ndiye aliyecheza kwa mafanikio kuliko wote
 
Mkuu kama Ole ana nia kweli ya kuondoa hizo takataka na Ed anazingua ni bora ajiuzulu kiroho safi tu..maana hakuna atakalolifanya..na hii itatusaidia kuprove kuwa tatizo kubwa ni Ed

Au wewe solution unaona ni ipi??
Niliwaza solution kama hii.
 
Back
Top Bottom