Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani kichwa changu kinapata sana Moto nikianza kuifikiria hii timu

Nimepoteza imani na Ole nasubiri tu aniprove wrong..
Ole Mr yes
Next season asipotimuliwa mapema hata wolves na Everton watatujambia
Watatupeleka nafasi ya nane
 
Mkuu naheshimu mawazo yako lakini hivi unaona pale mbele hivi vitoto rashford,lingard, martial vitatupeleka hata top four next season!
Kwanini kocha anashindwa kuwatransform Wachezaji wawe bora
Gadiola na klop wameweza kupandisha viwango vya Wachezaji lkn kocha wetu naona anacheka Cheka tu na kina rashford
Sometimes napata hasira nataman kuchana hizi United kit
tatizo la United sio Ole tatizo la United wote tunalijua, kama Moyes, LVG, Mou walishindwa kuondoa hizo takataka unategea Ole ndo atakuwa muondoaji??

muhimu tujipange psychologically binafsi sitaacha kuishabikia timu yangu wala sitaacha kwenda banda umiza.
 
Liverpool in 'talks' with Ajax defender MATTHIJS DE LIGT hahahahahahahahah
 
Nadhani tukienda France au Ureno na 25 m tutapata beki mzuri na mwenye umri mdogo.
Sio rahisi kiivyo mkuu, beki wa £25m unayemuongelea huyo labda awe full back, tena huyo ni beki wa majaribio, anaweza kufanikiwa au kuja ku flop

Kuna beki ambaye anakuja kwa kasi huko Ureno anaitwa Diaz (nadhani ni wa Benfica) anathaminishwa kwa £50m, huyo ni mtoto wa miaka 19/20. Kuna mbrazili ana miaka 22, anaitwa Eder Militao ambaye pia Real Madrid wanamtaka, bei yake ni shida, £50+m

Kwa hiyo katika hali ya inflation ya sasa ambapo, full back mtoto wa miaka 21 mwenye msimu 1 tu mzuri uingereza Aron Wan Bissaka (AWB) anatajwa kuuzwa kwa kati ya £45-60m huwezi kudhani kupata beki ambaye ni established central defender kwa bei chee

Tumejaribu kwa Lindelof na Billy kwa hizo bei za £30m lakini hamna mafanikio tuliyoyapata, sasa ni wakati wa kujaribu style ya Liver kwa Van Dijk, style ya City kwa Jonestone na Laporte

Hao mabeki wa kati wa bei ya £25m tuwaachie Arsenal ambao kwa msimu huu wana bajeti ya £40m ya kusajili kwenye department zote
 
Mc cane huna timu baba kaa utulie tu
 
Mkuu naheshimu mawazo yako lakini hivi unaona pale mbele hivi vitoto rashford,lingard, martial vitatupeleka hata top four next season!

Kwanini kocha anashindwa kuwatransform Wachezaji wawe bora
Gadiola na klop wameweza kupandisha viwango vya Wachezaji lkn kocha wetu naona anacheka Cheka tu na kina rashford

Sometimes napata hasira nataman kuchana hizi United kit
Mkuu kocha yupi awa transform hao watoto

Kumbuka OGS amekuja juzi juzi tu, na kuanzia July ndio itakuwa pre season yake ya kwanza ambayo anaweza kuweka input yake japo pre season moja haitoshi

Guardiola amaetumia misimu mingapi kum transform Sterling? Wengine wote walikuwa transformed huko walipotoka. Embu niambie jinsi alivyo transform Foden, BADO? Kwa hiyo kwenye hilo tusimlaumu OGS.

Na kuna wachezaji wengine hawa transformiki ( hahahahahahaha)
 
Mkuu kama Ole ana nia kweli ya kuondoa hizo takataka na Ed anazingua ni bora ajiuzulu kiroho safi tu..maana hakuna atakalolifanya..na hii itatusaidia kuprove kuwa tatizo kubwa ni Ed

Au wewe solution unaona ni ipi??
tatizo la United sio Ole tatizo la United wote tunalijua, kama Moyes, LVG, Mou walishindwa kuondoa hizo takataka unategea Ole ndo atakuwa muondoaji??

muhimu tujipange psychologically binafsi sitaacha kuishabikia timu yangu wala sitaacha kwenda banda umiza.
 
Nani anajua nini kilitokea baada ya ole kupewa permanent contract.

Nachojua Ole anataka kusingizia wachezaji. Baada tu ya kupewa contract ole akaanza kazungumzia mambo ya kuifumua team.
 
Mkuu Maguire ni zinga la beki, pace yake ndio inanipa mashaka, ila kiujumla bora niwe naye kuliko kutokuwa naye

Wanaomtangulia yeye ni, Koullibaly, Skriniar, De Ligt
Huyu ni mzuri kwenye mipira ya juu tu labda na kuchezesha timu
Ila hana zile tackling na kwa jinsi tulivyo na middle mbovu itakuwa uchochoro

Halafu beki wa kati kutumia mguu wa kushoto kwa ligi ya Epl ni Tatizo labda awe na back up mzoefu

Angalia blind na lindolf wanavyopata shida
 
Haha km kilingard na kirashford hapo nadhani ndio wapo pick ya juu tutaishia kuwalaumu tu,they will offer nothing

Ila lile toto linaitwa martial zembe sana huyu angefundishwa na kocha wangu nikiwa secondary angeacha mpira nadhani

Martial analipwa paund 200000+ kwa wiki ila uwanjani anacheza km michezaji wa cardif
Hivi mwalimu wa viungo ni nani pale United
Kwasababu ukimtoa lukaku sioni michezaji mwingine ambaye ni fighter
Mkuu kocha yupi awa transform hao watoto

Kumbuka OGS amekuja juzi juzi tu, na kuanzia July ndio itakuwa pre season yake ya kwanza ambayo anaweza kuweka input yake japo pre season moja haitoshi

Guardiola amaetumia misimu mingapi kum transform Sterling? Wengine wote walikuwa transformed huko walipotoka. Embu niambie jinsi alivyo transform Foden, BADO? Kwa hiyo kwenye hilo tusimlaumu OGS.

Na kuna wachezaji wengine hawa transformiki ( hahahahahahaha)
 
Herrera ndo ameikataa United na sio United kumkataa Herrera.

Herrera alipewa mkataba wa paundi 150k kwa wiki kwa miaka minne amekataa.

mind you, Herrera ana miaka 29 katikati ya mwaka huu kama sio mwishoni atakuwa na miaka 30 kamili.

kwahiyo tujue kuna kunyimwa mkataba, mfano; Valencia, na kuna kukataa mkataba kama Herrera.
Team haikujaribu "hard enough" kumbakisha, ukisema umri angalia wakati Sanchez wakati anakuja alikua na umri gani na pesa ngapi anakula.

This team doesn't know what they want, there is a saying: "If you don't know where you are going, any way can lead you there".
 
Huyu ni mzuri kwenye mipira ya juu tu labda na kuchezesha timu
Ila hana zile tackling na kwa jinsi tulivyo na middle mbovu itakuwa uchochoro
Halafu beki wa kati kutumia mguu wa kushoto kwa ligi ya Epl ni Tatizo labda awe na back up mzoefu
Angalia blind na lindolf wanavyopata shida
mkuu Lindelof gani huyo unaemzunguzia anaetumia mguu wa kushoto au Lindelof wa Manchester Ladies??
mkuu unamjua Thiago Silva?? Cheillin je?? Vertonghen??, Lenglet?? Laporte??
 
Haha km kilingard na kirashford hapo nadhani ndio wapo pick ya juu tutaishia kuwalaumu tu,they will offer nothing

Ila lile toto linaitwa martial zembe sana huyu angefundishwa na kocha wangu nikiwa secondary angeacha mpira nadhani

Martial analipwa paund 200000+ kwa wiki ila uwanjani anacheza km michezaji wa cardif
Hivi mwalimu wa viungo ni nani pale United
Kwasababu ukimtoa lukaku sioni michezaji mwingine ambaye ni fighter
Martial ana kipaji kikubwa sana, tatizo ni mvivu

Nimewahi kusema hapa, ni uamuzi wake tu awe kama CR7 au Luis Nani
 
Tatizo Lindelof hana pace na Maguire hana pace ila wote ni wasomaji wazuri wa mchezo

By the way Lindelof ni right footer mkuu
 
Team haikujaribu "hard enough" kumbakisha, ukisema umri angalia wakati Sanchez wakati anakuja alikua na umri gani na pesa ngapi anakula.
This team doesn't know what they want, there is a saying: "If you don't know where you are going, any way can lead you there".
kuhusu Herrera tusubiri timu atakayoenda na mshahara atakopewa ndo tuanze kujadili..

Sanchez no comment
 
Back
Top Bottom