Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hebu Nenda kwenye Kwenye App ya Barclays Premiere League ukaangalie Mendy ana assists Ngapi, Then ucalculate Howmany Minutes ameplay
Nimeshangaa sana jamaa anaposema Mendy hapig kross vzr,

Huyo Mendy akipiga kross unaweza kupuliza na upepo ukaingia golini,

Pamoja na majeruhi ana assist za kutosha, ni moja kati ya mafullback bora EPL,kwa mechi chache tu alizocheza

Yohana 3:16
 
Nadhani tungepumzisha key players kwa ajili ya kugombea top 4 kuliko kujitia tunaweza kupishana na barca yenye messi ndani,mechi ambayo hata tukishinda tumebahatisha.
 
Will man u break the "Drake" curse!!!?
Screenshot_2019-04-16-18-45-04.jpeg
Screenshot_2019-04-16-18-45-15.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_2019-04-16-18-45-15.jpeg
    Screenshot_2019-04-16-18-45-15.jpeg
    22.8 KB · Views: 19
Mashabiki wenzangu wa united tuache kujipa sifa za kipuuzi kikosi chetu
Hatuna world class players
Hivi kweli lingard, smalling, jones, fred, sanchez, matic etc wanaweza kutupa epl kweli???

Achen kukuza sana wachezaji wetu ni wa kawaida mno huyo rashford media ya england imemkuza mpaka anajiona cr7 wakati hakuna kitu he is just another average english player huyo martial ndo mpuuzi wa kutupwa hajutumi hakabi anapiteza mipira anakaa tu sehemu yake anakosa magoli ya wazi etc lakin kuna wapumbavu huku wanaweza sema martial ni level za kina hazard, mane, sterling nk lukaku nae hana ata first touch nzuri hajui kucontrol mpira hajui kujiposition hajui kupiga pasi nk yaani kidogo ata yy anapambana kidogo anaonekana etcetc

KWA SASA NI POGBA TU NA DEGEA NDIO WACHEZAJI WETU WANAOWEZA KUINGIA KWENYE KIKOSI CHA MANCITY, BARCA , LIVERPOOL ETC SASA HII SI AIBU YAANI UNATAKA KUBEBA EPL AU UEFA HUKU UNAWACHEZAJI WAWILI TU BORA WENGINE WOTE TISA NI UCHAFU

Sent from my iPhone using JamiiForums
Shabiki gani huyo ameipa sifa Man united..

Ni nani hajui Lingard ni mchezaji wa kawaida??

Tunaposema humu ndani kuwa tunataka wachezaji kama watano na kuendelea unakuwa hujui lengo letu au??

Na kingine timu haijengwi tu na world class players..Lazima pia kocha awe mwalimu kweli wa soka na sio muungaji muungaji tu..
 
Mendy is too heavy for a left back, hamkuti Shaw hata kidogo kwa namna modern full backs wanavyocheza

Kuhusu majeraha, hata Shaw majeraha yamemrudisha nyuma sana

Shaw anapaswa aongeze efficiency kwenye kupiga krosi, eneo ambalo hata Mendy hayupo vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu utakuwa humjui benj mendy vizuri wewe mendy hayupo vizuri kwenye kross??? Mzee utakuwa ni shabiki ukiekubuhu jamaa anapiga kross nyingi mno kwenye mechi moja kuliko left back yoyote epl pale ndani ya mechi moja. Tena kross zake ni za chini na hao kina sterling kaz yao ni kutap in tu.

Kuhusu majeruhi namaanisha msimu huu mendy hujamwona kabisa nadhan kacheza mechi sita au saba tu za ligi wakati huyu wetu luke shaw kacheza mechi karibu zote za ligi.

Embu nikuulize swali lingine kati ya lucas digne wa everton na huyu shaw wetu kwa msimu huu unamvhukua nani kama kweli unajua ubora wa left backs??

Na ukae ukijua france aliitwa mendy ambae alikuwa hajapona vizuri akaachwa huyo lucas digne

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mendy is too heavy for a left back, hamkuti Shaw hata kidogo kwa namna modern full backs wanavyocheza

Kuhusu majeraha, hata Shaw majeraha yamemrudisha nyuma sana

Shaw anapaswa aongeze efficiency kwenye kupiga krosi, eneo ambalo hata Mendy hayupo vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mendy hapigi krosi acha utani mkuu Mendy na Robertson hawa watu sio wakufananishwa hovyo hovyo
 
Mkuu utakuwa humjui benj mendy vizuri wewe mendy hayupo vizuri kwenye kross??? Mzee utakuwa ni shabiki ukiekubuhu jamaa anapiga kross nyingi mno kwenye mechi moja kuliko left back yoyote epl pale ndani ya mechi moja. Tena kross zake ni za chini na hao kina sterling kaz yao ni kutap in tu.

Kuhusu majeruhi namaanisha msimu huu mendy hujamwona kabisa nadhan kacheza mechi sita au saba tu za ligi wakati huyu wetu luke shaw kacheza mechi karibu zote za ligi.

Embu nikuulize swali lingine kati ya lucas digne wa everton na huyu shaw wetu kwa msimu huu unamvhukua nani kama kweli unajua ubora wa left backs??

Na ukae ukijua france aliitwa mendy ambae alikuwa hajapona vizuri akaachwa huyo lucas digne

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mendy namba nyingine ile kwa kross, yule wakumfanisha nae ni Robertson wa Liverpool basi, Mendy anapigaga kross ,inabaki kugusa tu liwe goli

Yohana 3:16
 
Nimeshangaa sana jamaa anaposema Mendy hapig kross vzr,

Huyo Mendy akipiga kross unaweza kupuliza na upepo ukaingia golini,

Pamoja na majeruhi ana assist za kutosha, ni moja kati ya mafullback bora EPL,kwa mechi chache tu alizocheza

Yohana 3:16

Mkuu huyu jamaa simlaumu nadhani atakuwa either shabiki ndakindaki au hajawai kumuona mendy akicheza.
Anadai mendy hajui kupiga kross nimeshangaa sana wakati mendy silaha yake kubwa ni kumimina kross tena za chini beki ukijichangana unajifunga mwenyewe au hao kina sterling wanaweka tu mguu wanafunga.

Mendy was the best left back pale epl offensively kuliko ata robertson.
Guardiola alimsajili kwa sababu jamaa was very offensive yaan anashambulia mpaka pinzan unachanganyikiwa.

Tatizo lake ni kuchelewa tu kurudi kukaba na hii haijawa kuwa shida pale city sababu wao wanashambulia muda wote

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom