1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,969
- 13,848
Mkuu mi Man U, ila nlijua tunapigwa hata sikujisumbua kwenda vibanda umiza, kwa beki young hata big four tukiingia bahati sana,, kama tungepangwa na Ajax basi ingekuwa goli nyingi,,Hapana degea yuko vizuri.. ila angalia defence iliyokaa mbele yake.. defence ya kina smalling .. jones.. young..? Unatarajia messi akuache kweli?
Degea akipata defence kama ya liverpool..mancity..hutomfunga kirahis. Man u hawana defence ya kueleweka.
Pogba nae hana hawez kucheza mwenyewe pale middle. Lazima tukubaliane kuwa fred sio kiungo mkabaji. Ni namba nane kama pogba. Halaf mkabaji unategema tominay na wenzie? Kweli?
Hawa wachezaj ni wazuri ila wamezungukwa na shit players.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukubali tu man hatuna beki,
Nimeamia AJAX Kujipoza machungu
Sent using Jamii Forums mobile app