Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Rashford Hovyo kabisa
Kwa ratiba yako ilivyo, top 4 huwez kuingiaFA kwetu sio muhimu kulinganisha na vita ya top four. All in all mapambano yanaendelea
😀😀😀😀 DaaahFA kwetu sio muhimu kulinganisha na vita ya top four. All in all mapambano yanaendelea
FA kwetu sio muhimu kulinganisha na vita ya top four. All in all mapambano yanaendelea
Wallah kwa upuuzi wa leo nimeanza kuwa na doubt na Sosha
dakika ya 63 timu inacheza hovyo timu pinzani inatengeneza nafasi za hatari kazi uliyowatuma wachezaji wako hawaifanyi still umeridhika tu kisa unaongoza possession
what a shame???
Mkuu Allah anakuonaHii si ndiyo timu inayoenda kucheza na Barcelona?
Ndio hiyo hiyo, yaan hapo kakosekana degea tuHii si ndiyo timu inayoenda kucheza na Barcelona?
Duh Yamekuwa hayo tena,HAWA WAMETUPIGA KIPIGO KITAKATIFU TENA HALALI KABISA, WAMEJUA KUJIPANGA VYEMA. SIO WALE WA LAST WEEK WALIPEWA NA PENALT ZA UONGO UONGO..
Sent using Jamii Forums mobile app