ndio hivyo sasa washakutoa. Swali gani hilo unaniuliza nenda kaangalie table mwenyewe.Bado nakuuliza swali hapo iyo mipango yao na morali imewafanya washike nafas ya ngapi kwenye ligi???
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwaahidi lini?At least wewe umeongea , sio hawa wanaoponda mchezaji mmoja.
Tuna wachezaji zaidi ya 6 kwenye first 11, ambao hawawezi kuanza kwenye timu inayoshindania makombe. Smalling, matic, herrera, young, lingard, etc.
Kule Right wing kumekufa kabisa, mashambulizi yetu yote yanapitia upande wa kushoto( hii kitu inanifnya sometime nashindwa kumlaumu martial), tuko predictable.
Kwenye midfield , matic ameisha yuko slow, yaani slow kutoa pasi za haraka, pia slow kusaidia kwenye attacking. Kinachosikitisha mbadala wake ni MCT.
Herrera, workrate yake ni nzuri but kipi kingine anacho offer.
Lingard, midtable team player.
Ili kucompete na best teams, tunahitaji best player(world class players) , sio hawa tulionao.
Summer signings
CB
Fullback
Rw
CDM , hawa ni must, tukishaleta hao ndio tulete wachezaji wakucompete Numbe ,ili waliopo wasibweteke.
Angalia Man city ,leroy sane akizingua sterring anachukua namba, mahrez akizingua ,sterring au bernado silver wapo. Hivyohivyo hata position nyingine.
Sasa ukija Man U, first11 tu ni ovyo ovyo.
Unabaki unajiuliza miaka yote hiyo tulikuwa hatusajili?. Unakumbuka kuwa kila kocha alikuwa anasajiri anavyopenda yeye, sio kulingana na falsafa za timu.
Kocha akiondoka wachezaji hao hawafai tena.
Hapa ndipo unakumbuka Ed woodward alituahidi DOF. Lakini hadi sasa kimya.
Sent using simu mbovu
Wolves iliponunuliwa na wachina akakabidhiwa Mendes (wakala) alete wachezaji ambao timu nyingine watawanunua.Bado nakuuliza swali hapo iyo mipango yao na morali imewafanya washike nafas ya ngapi kwenye ligi???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu hesabu vizuri.
Huwa wanajisahau sana mashetani hawa. Wakishinda maramoja wanaona wameshakamilika. Tulifanya uzembe kidogo sana mpaka wakatufunga nyumbani ile siku. Ila hawakuwa na uwezo wowote wa kutufunga.
Yaah ilikuwa game nzuri tu tuli relax na kuona tutatapa bao muda huu mara muda uleBora yako wewe uliona kilichoendelea,,,
Kipind cha pili mambo yaliharibika baada vijana kuanza kupoteana na kujikuta wanapoteza mipira ovyo na kuruhusu mashambulizi! Ni kosa LA kiufundi lililochangiwa na uzembe wa wachezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekumbuka ED hajawahi kuahidi kuleta DOF, ila aliahidi mabadiliko kwenye mifumo ya uendeshaji club.
Ndo maana nika type mpeni timu kabisa kwa msimu ujao ili tuone atafanikiwa vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Can you say something?Kwa Kiasi kikubwa yamepungua Kama Sio kuisha yote.
Tatizo lilikuwa uwepo wa Mourihno.
Licha ya kutupa Kombe la UEFA Ndogo na kuturudisha Katika nne bora kushiriki kucheza UEFA.
Soka lililochezwa uwanjani halikuwa la kuvutia, timu ilicheza Mpira mbovu mno, haikuwa Man United tuliyoizoea Au kuitegemea.
Wachezaji walilalamika, Mashabiki tulilalamika, binafsi sikuwa Mpenzi wa soka la Mourihno hata Kidogo.
Tulipishana Katika Falsafa, Mi ni muumini wa soka la Ufundi na uwazi, la kushambulia kwa Kasi na wachezaji kuwa huru kuonyesha uwezo wao binafsi.
Soka la Mourihno lilijaa mbinu ngumu mno, Falsafa ya kukaba Muda wote Ndio iliyotaka kuwapoteza wachezaji wazuri.
Mikhtaryan ameflopy kwa sababu ya Mou, Rashford alilazimika kutumia Nguvu nyingi kuliko akili uwanjani, Martial ye yalimshinda akaanza kulalama sambamba na Pogba.
Tatizo lilikuwa kwa Kocha (Mourihno), wachezaji walilalamika kuhusu Mbinu zakena mifumo aliyotumia uwanjani.
Tuliowaona hata Ma legend wa timu wakikosoa Mbinu zake.
Alitengeneza uwadui kwa Wachezaji na kwa Ma Boss wa Timu, vyombo vya Habari.
Mourihno alikuwa kivuruge Kweli Kweli pale Carrington na Old T.
Alitunyima radha ya kuwa shabiki wa Man United.
Zaidi hakutaka kuziishi Falsafa za Man United, kuwa pale Old T inaanza Man United kisha SAF.
Alitaka kuwa zaidi ya Klabu.
Alitumia zaidi ya pound 400m kukisuka kikosi chake.
Hakuwa Manager Mzuri kote alipopita, Pale Real Madrid pia ilikuwa hivihivi.
Hizi ni timu kubwa zenye mashabiki wa kutisha zenye Falsafa zake.
Alishindwa kutofautisha Kati ya Man United/Rwal Madrid na Chelsea.
Na hata alipokuwa Darajani alikumbana na matatizo ya namna hii.
Sio Muumini wa wachezaji wenye vipaji/Makinda na Sio Muumini wa wachezaji Mastaa, alishindwa kubalance timu/Club.
Kuondoka kwa Mourihno pale Man United kumekuwa na Kheri kubwa kuliko angeendelea kuwa Kocha wetu.
Huyu Mourihno Ndio aliyetaka kutuaminisha hawa akina Mata, Lukaku, Salah, De Burnye, Sterrling kuwa Sio wachezaji wazuri.
Kwangu naamini kumfukuza Mou Klabu imeshusha Mzigo mkubwa sana.
Chini ya OGS hatuwezi kushinda match zote lakini match ambazo tunatakiwa kushinda nina uhakika tutashinda kwa Kishindo Sio kwa kinyonge kwa soka tunalocheza sasa.
Tulianza kufungwa na wajinga wajinga tena hapa hapa Old T.
Tukaanza kuvihofia hata hivi vitimu vidogo, tufungwe na timu Ndogo lakini iwe kwa bahati mbaya, tulikuwa tunafungwa kwa Shida hata Kama hatuchukui ubingwa.
Tulianza kudharaulika, lakini Sasa nina imani hata PSG wataanza kutuchukulia kwa umakini.
#Kheri ya Mwaka Mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Belo unafanya uchochezi na adhabu yake ni kuwekwa segerea miezi 3Can you say something?
Glazers +Woodward are very smart (in business & management )until now most United fans dont know whats wrong with their team they make us believe the problem was manager and solution was to sack him now we trying hard to find the new excuseBelo unafanya uchochezi na adhabu yake ni kuwekwa segerea miezi 3
Poleni sana
jambo moja kubwa ambalo washabiki na wapenzi wa manchester united tunapaswa kushukuru ni kushuhudia timu yetu imewahi kufundishwa na mwanadamu ambaye si mnafiki linapokuja suala lenye maslahi na kazi yake.Glazers +Woodward are very smart (in business & management )until now most United fans dont know whats wrong with their team they make us believe the problem was manager and solution was to sack him now we trying hard to find the new excuse
vugu vugu la jose mourinho ndio lilimshajihisha ed woodward na familia ya glazer waone umuhimu wa kutafuta DOF, na mpaka muda huu hakuna aliyetangazwa mshindi wa nafasi hiyo.
Kwaiyo time nzima ya Wolves wana wakala mmoja tuWolves iliponunuliwa na wachina akakabidhiwa Mendes (wakala) alete wachezaji ambao timu nyingine watawanunua.
Target yao siyo makombe wala UEFA target ni kuhakikisha timu haitoki kwenye ligi tu. Ndiyo maana wachezaji wote wa Wolves mpaka kocha wakala wao ni Mendes
Swali lako halina maana.
Yaani umefungwa na timu ambayo haina hata haja ya kuchukua hilo kombe alilokutolea.
Piga mbuzi hao
Kinachokwamisha mpaka sasa asipewe mkatàba ni nin?Ndio maana na mm nikasema ngoja msimu upite dio vipimo halisi vitoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo.
Kinachokwamisha mpaka sasa asipewe mkatàba ni nin?
Katika gem zake zote kashinda kapigwa gemu mbili tu ..hivyo ni wastanu mzuri apewe timu tu ili tuendelee kufurahi zaid..
Sent using Jamii Forums mobile app