Bora Ole awe anaweka wale watoto waliocheza na psg hawa wakubwa mapoyoyo wengi sana
Kweli kabisa mkuu, kosa alilofanya dhidi ya Arsenal kumuacha dogo Scott karudia tena vle vle tokea dk ya 60 timu ilizidiwa kabisa na umuhimu kufanya Subs ulionekana yeye kakumbuka shuka kumekucha
 
Goli la kwanza wachezaji watatu wanapigwa chenga na one player ambaye ni wa kawaida hii haikubaliki kabisa
Sijajua ni nini watafanya msimu ujao. Huwezi kuwa na washambuliaji ambao ukiwabana na kuzuia nafasi umewamaliza. Hakuna mchezaji anayeweza hata kupiga chenga mbili tatu akawapangua mabeki, hii ni ajabu kwa timu kama MUFC.

Timu imeishia kupiga pasi zisizo na maana, hamna ubunifu hata kidogo.

Hivi huyu Martial tunayemkuza humu mara nyingi, amefikia hata robo ya ubora wa Nani?
 
Back
Top Bottom