mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,058
- 3,755
hongereni Manure, mmepambana
Inabidi wajewaombe baada ya kufuzu makundi wao wapangiwe kuingia robo fainali......maana kwa miaka mitano mfuluzo wanafanya uwekezaji MKUBWA sana(wachezaji na hata makocha) kwenye timu ili wavuke hii hatua lakini

Was this necessary? ModeratorWe msenge acha kutuandikia vingeleza vyako vya kucopy hapa watu tuna furaha nyoko![]()
Sasa sisi kwenye banda umiza baada ya ile penati watu tulivua mashati tukaingia kushangilia roadMkuu mimi sikuwa hata na huo muda wa kuangalia wanashangiliaje kwa furaha niliyopata. Ngoja niitafute nione.
Sent using Jamii Forums mobile app
LEO KUNA MSIBA MKUBWA SANA HAPA
Lukaku is better than MessiMessi vs Buffon
9 Games 2 Goals
Lukaku vs Buffon
1 game 2 goals
The debate is Over.
Huna timu ya kumfunga PSG hata wakicheza 8 ndani.
Kama unamini katika miujiza utaelewa post yangu au unataka kutuaminisha ulikuwa na kikosi cha kumfunga PSG tena akiwa amekutangulia kwa 2-0??
Kwani jana walikuwepo Experience players wangapi?. Mimi n ilishabet MAN U mtatolewa kwa sababu wachezaji experience 10 akiwemo Antonio Valencia, Matteo Darmian, Phil Jones, Ander Herrera, Nemanja Matic, Jesse Lingard, Alexis Sanchez, Juan Mata, Anthony Martial, Paul Pogba hawakuwepo kwenye list ya timu iliyokwenda Paris. Na hii ndio sababu nafikiri iliyowahadaa PSG wakawa underrate. Wachezaji wengi waliokuwemo kwenye msafara ni wale wa academy, sijui hasa list yao ila walikuwa wengiKitu ambacho jana nilikiona kwwnye mech ya Psg vs Manchester United
Descpline ya mchezo
United waliingia wakiwa na nidhamu kubwa ya huu mchezo hawakuwadharau Psg kama ambavyo ilikua mechi ya kwanza ikichangiwa na kutokuwepo kwa most experienced players hii ikasababisha kwa asilimia kubwa sana waliokuwepo kucheza kwa umakini na nidhamu.
Psg ni kama.waliwa underate Manchester wakiamini kwamba wanauhakika wa kushinda kias kwamba walitumia muda mwingi kuchezea mpira na sio kufunga magoli.
Use chances when u get them
Manchester hakutengeneza nafas nyingi jana kwenye ule mchezo ila makosa ambayo Psg waliyafanya ndio hayo hayo ambayo yalitumika kuwaumiza angalia magoli yote yametokana na makosa ya wachezaji wao and Lukaku was there kuwaonyesha kwamba we are here to win
This is Ole Time
Ukiangalia Team inavyocheza sasa hvi unagundua kwamba wachezaj wana imani sana na OGS na bench lake la ufundi wachezaji they are giving their 101% kwa kocha.
La mwisho sasa hIvI don't say its over until its over kwa Manchester United ya sasa.
Huwa kuna kocha wa ligi na kocha wa UEFA, pia kuna wachezaji wa ligi na wachezaji wa UEFA kwa hiyo wakitaka UEFA wamtafute zizou na CR7, Hao watawafaa sanaInabidi wajewaombe baada ya kufuzu makundi wao wapangiwe kuingia robo fainali......maana kwa miaka mitano mfuluzo wanafanya uwekezaji MKUBWA sana(wachezaji na hata makocha) kwenye timu ili wavuke hii hatua lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Relax kigezo cha kupendelewa ni dhaifu mno ila naelewa unajaribu kudefend your ego.Kwani jana walikuwepo Experience players wangapi?. Mimi n ilishabet MAN U mtatolewa kwa sababu wachezaji experience 10 akiwemo Antonio Valencia, Matteo Darmian, Phil Jones, Ander Herrera, Nemanja Matic, Jesse Lingard, Alexis Sanchez, Juan Mata, Anthony Martial, Paul Pogba hawakuwepo kwenye list ya timu iliyokwenda Paris. Na hii ndio sababu nafikiri iliyowahadaa PSG wakawa underrate. Wachezaji wengi waliokuwemo kwenye msafara ni wale wa academy, sijui hasa list yao ila walikuwa wengi
Kwa ufupi tuseme tu ni bahati, ngekewa posession ya 30%, kupendelewa na refa kwa penalty isiyostahili, ila all in all hongereni kwa kuingia robo fainali
nilikua siamini uchawi, kumbe ni dhahili uchawi upo.
lile goli mchezaji mjinga mjinga hawezi funga kabisaaaaaa nasema hawezi fungaLile goli la kwanza lukaku alipinda kama samaki wa senti tano wale wahenga wenzangu walozitumia watanielewa.
Ile angle ngumu mnolile goli mchezaji mjinga mjinga hawezi funga kabisaaaaaa nasema hawezi funga