Mkuu mimi sikuwa hata na huo muda wa kuangalia wanashangiliaje kwa furaha niliyopataLukaku kanifurahisha alivoshangilia goli la tatu, kamfuata ya di maria mbele kampigia kelele alafu ndo akaenda kuungana na wenzake kushangilia.



. Ngoja niitafute nione.Kiukweli nimeumia sana Man u Kushinda .. kesho sijui sura yangu nitaiweka wapi


we kweli ni certified haterPSG hawakujua kuwa kwenye champions league ManU ni sayari tofauti hasa linapokuja dakika za majeruhi. Wawaulize Bayern mwaka 1999.Dakika za OG ni zilizile 89-90. Niwakumbushe tu mwaka unaoishia 9 ni hatareee kukutana na MaU.Mwaka 1999 champions, 2009 champions na mwaka 2019 champions kama hutaki kajiunge alshababKafute penalt basi.
Var inachofanya ni ku replay tukio katika angle zote. Nothing else
Kama refa kaamua hivyo.. nn tatizo. Hujaridhika peleka mashtaka fifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Kimpembe alitusumbua sana OTMgeukie jirani yako, kisha mwangalie usoni mwambie “WEWE NI KIMPEMBE”
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wapuuzi tu..Rashford akifunga kelele kibaoLukaku yupo kwenye form sana. Nimefuatilia hizi match za tatu za mwisho, vyombo vya habari vya Uingereza havimpi pongezi anazostahili. Kind of racism hivi.
Mkuu mimi sikuwa hata na huo muda wa kuangalia wanashangiliaje kwa furaha niliyopata. Ngoja niitafute nione.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sitii nenoI hope now some people here will respect Romelu Lukaku



sureeMkuu umeongea point kubwa sana. Kugusa mpira mara moja ukazaa goli ni bora kuliko kugusa mpira mara 120 (kama Fred) bila goli. BIG UP, NIMEKUELEWA.Mkuu kwanini huwa unaponda wachezaji wa timu yako, tena sio wabovu ...... Wanafanya vizuri tu
Dalot hata kama angekuwa hajagusa mpira dakika zote, kwa kusababisha tu penati anapaswa asifiwe kwa nyimbo na mapambio
Mimi sita taja mchango directly, ila nitakuuliza tu swali moja
Kipindi Bailly yupo upande wa kulia na kipindi Dalot ameingia upande huo wa kulia, muda gani ulikuwa comfortable zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
PSG hawakujua kuwa kwenye champions league ManU ni sayari tofauti hasa linapokuja dakika za majeruhi. Wawaulize Bayern mwaka 1999.Dakika za OG ni zilizile 89-90. Niwakumbushe tu mwaka unaoishia 9 ni hatareee kukutana na MaU.Mwaka 1999 champions, 2009 champions na mwaka 2019 champions kama hutaki kajiunge alshabab