Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,343
- 13,865
ni bonge ya mchezaji"leo (jana) ndio tumeona kwanini tumemsajiri Fred"
-OGS
Acha kuongea ujinga.Kwani jana walikuwepo Experience players wangapi?. Mimi n ilishabet MAN U mtatolewa kwa sababu wachezaji experience 10 akiwemo Antonio Valencia, Matteo Darmian, Phil Jones, Ander Herrera, Nemanja Matic, Jesse Lingard, Alexis Sanchez, Juan Mata, Anthony Martial, Paul Pogba hawakuwepo kwenye list ya timu iliyokwenda Paris. Na hii ndio sababu nafikiri iliyowahadaa PSG wakawa underrate. Wachezaji wengi waliokuwemo kwenye msafara ni wale wa academy, sijui hasa list yao ila walikuwa wengi
Kwa ufupi tuseme tu ni bahati, ngekewa posession ya 30%, kupendelewa na refa kwa penalty isiyostahili, ila all in all hongereni kwa kuingia robo fainali
Kumbuka Arsenal na Inter Milan.Hujaelewa
Record ni kwamba hakuna timu iliyowahi kupigwa kwa tofauti ya goli 2 nyumbani halafu ikaenda ugenini ikashinda na kuvuka katika UCL
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha! Nipo chifu! Mungu ni mwema sana!
Kweli wewe ni saa mbovu aiseKumbuka Arsenal na Inter Milan.
Arsenal alikufa 4 highbury alivyoenda Italy Inter alipigwa 5 kwa 1.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo na matokeo kamili ya Arsenal Highbury (ilikuwa ni 4 kwa ngapi), halafu tujadiliKumbuka Arsenal na Inter Milan.
Arsenal alikufa 4 highbury alivyoenda Italy Inter alipigwa 5 kwa 1.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ya ole kupgwa goal 7 imefika