Wewe noma yako wiki ijayo ...msiba tutaleta kwenu..HONGERENI kesho asubuhi mpeni OLE contract kabisa
LEO KUNA MSIBA MKUBWA SANA HAPA
Tayariiii tunasubiria GIF sasa kazi ni kwakoGGMU. Nasubiria goli kwa hamu
Chelsea alipigwa tatu na Napoli akaja kushinda nne gemu ya pili..Tunaweka historia tu...hamna timu iliyowahi kufungwa 2 bila nyumbani mechi ya kwanza halafu ikapita katika hatua ya mtoano
Kisa kuwapiga wale viwete goli 4? , mkuu moto wa Psg sio wakitoto hivyo acha tuvimbe tu GGMU.
Hawaamini macho yao This is United THE KING OF COMEBACK
Siku hizi umekuwa mmungana Sana mkuu, hata tukishinda unakuja kupongeza...........
Haaaaa.. Halafu inaonekana umeandika ukiwa umejifungia kwenye box




