Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kitu ambacho jana nilikiona kwwnye mech ya Psg vs Manchester United
Descpline ya mchezo
United waliingia wakiwa na nidhamu kubwa ya huu mchezo hawakuwadharau Psg kama ambavyo ilikua mechi ya kwanza ikichangiwa na kutokuwepo kwa most experienced players hii ikasababisha kwa asilimia kubwa sana waliokuwepo kucheza kwa umakini na nidhamu.
Psg ni kama.waliwa underate Manchester wakiamini kwamba wanauhakika wa kushinda kias kwamba walitumia muda mwingi kuchezea mpira na sio kufunga magoli.

Use chances when u get them
Manchester hakutengeneza nafas nyingi jana kwenye ule mchezo ila makosa ambayo Psg waliyafanya ndio hayo hayo ambayo yalitumika kuwaumiza angalia magoli yote yametokana na makosa ya wachezaji wao and Lukaku was there kuwaonyesha kwamba we are here to win

This is Ole Time
Ukiangalia Team inavyocheza sasa hvi unagundua kwamba wachezaj wana imani sana na OGS na bench lake la ufundi wachezaji they are giving their 101% kwa kocha.
La mwisho sasa hIvI don't say its over until its over kwa Manchester United ya sasa.
 
Ni jambo zuri kujipa matumaini ila PSG sio timu rahisi kuifunga hasa anapokua home.

PSG hii ina mchanganyiko wa wachezaji wazoefu wanaojua nini cha kufanya na chipukizi wenye kiu ya mafanikio. Haitakua rahisi kufungwa kama wengi wanavyotamani iwe.

Kwa misimu zaidi ya 3 PSG hawajawahi kuvuka hatua hii ya 16 bora ila msimu huu wapo tofauti, kocha wao ana mbinu za ushindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu msimu wa nne sasa hawajavuka hii hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom