Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
😀😁😁😀 MamitoHahahahaha maiti kapiga chafya ,itabidi huu ubwabwa wa msiba tuwape majirani zenu(liverpool)
ILA HONGERENI
Aagh Man United bana ..wananikosha sana..Siku hizi umekuwa mmungana Sana mkuu, hata tukishinda unakuja kupongeza...........
Sent using Jamii Forums mobile app
So kweli. Pogba anavyosupply mipira, Like angetoka na ballWatu kama kina POGBA (mafaza) wangekuwepo, wangekunyimeni ushindi
Kwa ule moto wa Ajax hata PSG leo angeoga...Haaaaa.. Halafu inaonekana umeandika ukiwa umejifungia kwenye box
Sent using Jamii Forums mobile app
HujaelewaChelsea alipigwa tatu na Napoli akaja kushinda nne gemu ya pili..
Hizi mambo zipogo tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sina tatizo buana ..lengo ilikuwa man united ashinde nipige mpunga ..
Nipe matokeo we shabiki maandazi..Huna timu ya kumfunga PSG hata wakicheza 8 ndani.