radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
View attachment 1040008
Huyo Bwana mwenye mpira ndiye alileta kizaazaa mwaka 1999 ...na ndiye huyo jana kaleta balaa na vijana wake.Kwa waliozaliwa juu ya hapo itawachukua muda kidogo kumfahamu.Kipindi hiyo hakuna Sportpesa...wala mbet walaa mkeka bet.Ni kipindi unashangalia mpaka unakula makofi.Wajerumani enzi hizo walikuwa majitu haswaaa.Huyo Bwana alikuwa na kasura kake hakafanani na matendo yake kabisa Uwanjani.
Kajamaa kalikuwa kanacheza muda mfupi sana ila madhara yake makubwa wala hakajawahi kulalamika
