Fred hawezi kumuweka bench Pogba. Nafikiri Pereira na Fred ndiyo watakuwa wanabadilishana nafasi. I wish Pogba aongeze umakini kulenga goli.Three man midfield rotation:
1️⃣ Pogba - Matic - Fred
2️⃣ Pogba - Fred - Pereira
3️⃣ Matic - Fred - Pereira
Hahahaa hakika mkuu umenena, hata mimi nilikuwa nawaza hivi hiviTukipigwa nongwa tukishinda nongwa kwa hiyo kocha asitafute balans ya kikosi kisa mech za majaraibio? Hii timu ngumu sana
Nakuunga mkono mkuuFred hawezi kumuweka bench Pogba. Nafikiri Pereira na Fred ndiyo watakuwa wanabadilishana nafasi. I wish Pogba aongeze umakini kulenga goli.
Halafu nafikiri tofauti na wengine, MUFC itakuwa moto sana msimu huu. Ubingwa upo hakuna sababu ya kuwa wanyonge.
Fred hawezi kumuweka bench Pogba. Nafikiri Pereira na Fred ndiyo watakuwa wanabadilishana nafasi. I wish Pogba aongeze umakini kulenga goli.
Halafu nafikiri tofauti na wengine, MUFC itakuwa moto sana msimu huu. Ubingwa upo hakuna sababu ya kuwa wanyonge.
1️⃣ Pogba - Matic - Fred
2️⃣ Pogba - Fred - Pereira
3️⃣ Matic - Fred - Pereira
WANASEMA hivi, dawa ya jeuri kiburi. Winga Anthony Martial anawafanyia jeuri Manchester United, basi nao wameamua kumjibu baada ya kuelezwa watafyeka mshahara wiki mbili kutokana na kitendo chake cha kutoweka mazoezini kwa siku nane.
Imeelezwa hivi, kutokana na hilo, Martial ambaye aliondoka kambini kwenda kwa mpenzi wake, Melanie Da Cruz, aliyejifungua mtoto hivi karibuni, ameshindwa kufanya mazoezi na wenzake kwa siku nane na hivyo, panga kali litapita kwenye mshahara wake, baada ya kumpiga faini ya Pauni 180,000 ambayo ni sawa na mshahara wake wa wiki mbili
Adidas hana ubavu wa kuvunja mkataba kwa situation ya sasa ya Man U na akiondoka unakuja mkataba mkubwa zaidi ya huo.Unajua contents za mkataba wa adidas na united kuhusu performance ya team na jinsi itakavyoathiri team.
Kumbuka mkataba wa Adidas ba United ndio mkataba mkubwa kuwahi kutokea duniani kati ya team na Kampuni yoyote (Its a mega deal ever).
Ingia google halafu soma hizo contents ndio utajua kwanini nasema united inahitaji instant results.
Huwezi kuwa unawasajili wakakina Ibrahimovic,Matic , Grants, Miki, n.k ambao age yao ni wastani wa miaka kama 29 useme unategemea mafanikio baada ya miaka mitatu. Kumbuka baada ya miaka mitatu hawa wastani wa umri ni kwenye miaka 30+.... Hahahaha unachekesha.
Morinho hana long term plan. PERIOD. Huo ndio ukweli.
Najua Miki na zlatan hawapo ila ni mfano nimeutoa kupinga hoja yako ya mafanikio ndani ya miaka mitatu kuwa ilikiwa haiendani na usajili aliokuwa anafanya. Ndani ya miaka hiyo mitatu wachezaji wake wengi wangekuwa over 30 kitu ambacho kwa soka la ushindani lazima ustruggle sana kupata mafanikio. Najua utakuja na mifano ya team za vibabu. Hahahaha
Wote hao uliowataja nani ana cv kali kuliko Van Gaal?Mourinho kila anapotoka anatoka na Lawama. Ameshazoeleka.
Kwa mbinu za Mourinho hata aje Messi na Ronaldo ni chenga tupu.
Tatizo ni mourinho Asap. Hakuna ujinga. Kama team walau ingekuwa walau inacheza mpira wa kulidhisha tungekubali lawama zake. Team inacheza hovyooooo. Huoni tactical display za kocha. Huoni ufundi wowote.
Ufundi wa kocha haujidhihirishi kwa kuwa na wachezaji nyota. Team kama tottenham haina nyota ila ufundi wa mwalimu unauona timu inapocheza kwa hiyo kocha kama huyu akiongezewa super nyota players team itatisha.
Na pochetino hakuanzia hapo mbinu zako kuonekana bora ni kuanzia alipokuwa Southampton.
Sasa mourinho ni mwendo wa kupack bus, timu haichezi na mfumo wake hautengenezi nafasi za kufunga. Hapa hatuzungumzii wachezaji, hapa ni mfumo wa kocha. Hata akicha ronaldo timu mfumo wake ni kupack basi ronaldo hawezi funga magoli. Tatizo ni mourinho ni kichaa tu ndio anaweza asilione hili.
Manchester United haiwezi kurudi kwenye zama zake kwa kusajili mastaa chungu nzima wakati kiufundi iko vibaya. Timu itarudi kwenye zama zake kwa kuwa na kocha mwenye mbinu za kutopack bus na kutengeneza nafasi nyingi.
Watu wanasahau ni Mourinho huyu huyu ndio alikuwa madrid ya mastaa chungu nzima kuanzia Modric, Ronaldo,Benzema, Casilas na wengine kibao lakini mwisho wa siku hakufua dafu mbele ya Pep Guardiola. Sana sana aliishia kumuuza Goli kipa Bora miaka hiyo Ikar Casilas.
Huyu huyu mourinho alikuwa chelsea timu ilimshinda akaishia kutupia lawama wachezahi watatu aliowaita "Three Big Rats"
MaKocha wa kuivusha hii team ni either;
1. Mauricio Pochetino
2. Diego Simione
3. Ryan Giggs
4. Sulivan
Mourinho Football Tactics are outdated and can't work onto modern Competitive footbal. Under Mou We've to expect Nothing.
Ukimtoa sanchez na de gea pengine na matic waliobakia wote ni vijana ambao wanahitaji kushikwa akili watulie.Ukisema wachezaji wa kawaida unakuwa umemaanisha nini?
Pogba,matic,fred,herrera pereira
Lukaku,martial,sanchez,degea,bailly,shaw,young..wote hawa ni wachezaji wa kawaida??...wachezaji wasio wa kawaida ni akina nani??
Herrera kati ya casemiro, modric na kroos anamueka nani bench?Mkuu top players wa aina gani Man United inayowakosa?
Wakina Sanchez,Pogba,Matic,Herrera,Lukaku,Bailly,Martial,De Gea sio top players?
Hawa wote wana uwezo wa kuchezea Madrid vizuri tu.
Timu nzima haiwezi Kuwa na top players namba zote.
Je Liverpool ina top players gani? Mbona ilifika fainali UEFA?
Rashford na Martial sio winga wa asili na wote wanacheza upande wa kushoto tunahitaji winger wa kulia, kama unaangalia mpira.Mimi sikubali kama rashford na martial wameisha kiasi hicho...ndio maana bodi ya timu haiwezi kumuelewa Mou anavyosema anamtaka perisic na willian wakat pale ana vijana wanaoweza kufanya kazi vzr wakitokea pembeni. Kama bodi haitaki kusajili wachezaji anaowataka aondoke. Hata Fergie kuna wachezaji alikuwa anawakosa. Kuanza kuwasema wachezaji wadogo tena kwny pre season si kitu kizuri
Rashford na Martial sio winga wa asili na wote wanacheza upande wa kushoto tunahitaji winger wa kulia, kama unaangalia mpira.
Mchezo wa rashford na martial ni akipata mpira anaingia ndani wachezaji hawa wanaitwa wing forward,
Tunaohitaji sisi ni winger wa kizamani design ya beckham ama giggs ama valencia etc ambao wakipata mpira wanatia majaro, tuna mtu kama Pogba, Lukaku, smalling, Fellaini etc wote ni magiant wanahitaji sana cross ila hatuna mtu wa pembeni wa kuzileta.