Kwani wachezaji ni hao watano tu? au wangeweza kuwa 10?Mkuu katimiziwa mahitaji yake ya uwanjani? Kaomba wachezani wa 5 toka mwezi wa 4 wamefika?
Excuses zimeanza mapema kabla msimu haujaanza, ili akiboronga aje aseme "nilitaka wachezaji watano Man utd wamenipa wawili"
Kama kocha lazima atambue kuwa kuna mchezaji kukubali na kukataa, sasa kama amekataa manake ndo Mou kwisha hana la kufanya?
How much did we spend on players during his time? are we spending the money wisely?