Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Ukisema wachezaji wa kawaida unakuwa umemaanisha nini?Mourinho akiondoka unafikir ndo kufanikiwa kwa manchester?
Kabla ya mourinho wamepita wakina nani?
Timu ina jina kubwa lakin tunawachezaj wa kawaida
Pogba,matic,fred,herrera pereira
Lukaku,martial,sanchez,degea,bailly,shaw,young..wote hawa ni wachezaji wa kawaida??...wachezaji wasio wa kawaida ni akina nani??