Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 5,134
- 7,651
Kumbe tupo wengi tukeshao! Mi natumia Mobdro Manutd channel. Wewe je?Namba tano wa muhumu sana tena mzoef goli alilofunga benzema linatoa majibu
Kumbe tupo wengi tukeshao! Mi natumia Mobdro Manutd channel. Wewe je?Namba tano wa muhumu sana tena mzoef goli alilofunga benzema linatoa majibu
Star world football mkuuKumbe tupo wengi tukeshao! Mi natumia Mobdro Manutd channel. Wewe je?
Tupo pamoja!Star world football mkuu
Poa mkuuTupo pamoja!
Tumeshinda mkuu wacha tulale sasaAt least leo tushinde jmn..
Kwa ingizo la fred wakirudi na viungo wetu wenye uzoef timu ipo vizur diogo dalot kapona kaanza mazoez walau tuongeze na wachezaj wawili au mmoja hasa 5Msimu uanze tuu sasa
Glory Glory Man United
Viungo tupo sawaKwa ingizo la fred wakirudi na viungo wetu wenye uzoef timu ipo vizir dorot kapona kaanza mazoez walau tuongeze na wachezaj wawili au mmoja hasa 5
Kweli mkuuViungo tupo sawa
Suala la kuongeza wachezaji "walau" wawili kumbuka tarehe 9 transfer window inafungwa... tusije tukanunua / tukauziwa mbuzi kwenye gunia
Mbona mnacomplicate mambo sana..no mbili yupo lindelof,timoth fosu mensah,valencia na bado unamwongelea darmian as if ni second choice kwenye timu yetuKaumia valencia nafasi inachukuliwa na darmian hao wote mourinho kawakuta kaomba pesa za kutaka kikosi chake bodi inakimbia lawama kwa mourinho
Top player wenyewe wanaowazungumzia ni perisic,willian na maguire,bale..hawa jamaa bhanaMkuu top players wa aina gani Man United inayowakosa?
Wakina Sanchez,Pogba,Matic,Herrera,Lukaku,Bailly,Martial,De Gea sio top players?
Hawa wote wana uwezo wa kuchezea Madrid vizuri tu.
Timu nzima haiwezi Kuwa na top players namba zote.
Je Liverpool ina top players gani? Mbona ilifika fainali UEFA?
Hakuna mahali alipozungumziwa maguire kama ni top player,,, bale na willian wakumfananisha na winga gan pale united? Jones na smalling wamekosa namba timu ya taifa kwa maguire au hukuona?Top player wenyewe wanaowazungumzia ni perisic,willian na maguire,bale..hawa jamaa bhana
Hao uliowataja wamecheza mechi ngapi msimu ulioisha ndani ya united kunbadili valencia?Mbona mnacomplicate mambo sana..no mbili yupo lindelof,timoth fosu mensah,valencia na bado unamwongelea darmian as if ni second choice kwenye timu yetu