Kuna plan A plan B na Plan C mpaka Z.Mkuu ukimsikiliza kocha anasema aliomba wachezaji watano na mpaka sasa ni wachezaji wawili tu aliopewa ukimtoa bwana lee alikuja kumreplace joel anayeondoka kwa mkopo
Sasa hapa tunamlaumuje kocha kama bodi inazingua kusajili majembe anayotaka. Mi nafikiri kocha angepewa wachezaji anaowataka na ikitokea akashindwa ndo tumgeukie, ila kwa sasa sion sababu ya kumlaumu kocha
Bodi haimzingui, hao wachezaji anaowataka wanataka kucheza chini ya Mou. Bodi inamwaga hela nyingi tu. Tatizo ni Mou mfumo wake unawaogopesha wawachezaji wengi.
Mkuu, kocha ameomba wachezaji watano specific, ametoa option wakikoswa hao? Tatizo ni kuwa na option. Hio tayari kashaeka excuse mapema. Ligi ikimbumia sababu anayo.Mkuu ukimsikiliza kocha anasema aliomba wachezaji watano na mpaka sasa ni wachezaji wawili tu aliopewa ukimtoa bwana lee alikuja kumreplace joel anayeondoka kwa mkopo
Sasa hapa tunamlaumuje kocha kama bodi inazingua kusajili majembe anayotaka. Mi nafikiri kocha angepewa wachezaji anaowataka na ikitokea akashindwa ndo tumgeukie, ila kwa sasa sion sababu ya kumlaumu kocha
Lakini ukweli bado ni kosa lake. Kwa sababu bodi inamtimizia anachotaka kwa kinachowezekana. Hela tumemwaga nyingi tu km anavomwaga city. Ila city ana spend wisely Mu inaspend lavishly.
Wachezaji nao wanaogopa kucheza under Mou, wanagopa striker akaja akaambiwa akae beki 2.
Tumeachwa point 19 ligi ilopita kizembe kabisa na aibu. First 11 haina replacement za uhakika. Mchezaji km mctominay alionesha kiwango kizuri tu. Siku nlomuona anacheza, mpk nkajiuliza Mou hamuoni? Akawa hampi enough game time.
Lukaku ni mchezaji mzuri na ana nguvu, lkn so mtu wa kukimbia na mpira, ni mtu wa finishing tu, jamaa kama angekuwa citeh, angetisha. Mana angechezeshwa sana. Uku United anaambiwa arudi nyuma, ata counter haiwezekan tena.