BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Tafuta kazi nyingine...
Hii ya utabiri hauiwezi..!
Huo utabiri ni game ya kesho kati ya Blauzi na Barca. Hivyo msamehe
Tafuta kazi nyingine...
Hii ya utabiri hauiwezi..!
Braza hebu hudhuria kwanza msiba wa leo tuzikeKesho ni kesho. Blauzi 1-3 B
Mourinho leo alicheza namba ngapi kwani?????????Mourinho katutoa UEFA, kuanzia kwenye kupanga kikosi mpaka kwenye uchezaji.
Leo ni zamu ya De Boer kukenua.Mourinho: “I read something from the worst manager in the Premier League. Frank De Boer where he is saying it’s not good for Rashford to have a coach like me. If he was coached by Frank he would learn how to lose because he lost every game.”
we ndo ukae kimya kabisa subiri goli liingie ushangilie tuKulikua na sababu gani zilizofanya fellain kuanza na pogba au mactomney au mata kukaa nje?,,,,pia zile mbinu alizotumia Leo kucheza unazani zilikua nzuri? ,
Hata ningekuwa mimi ningeondoka.Na De Gea sio ajabu akatimkia Madrid
Team gani haifiki japo robot fainali UCL
Pia imezidisha aibu kwa EPL
Ha ha ha.....Linatumia nguvu nyingi kucheza na liva linasahau kuwa linagame uefa
Braza hebu hudhuria kwanza msiba wa leo tuzike
Then tutahudhuria harusi kesho basi
Hamna mwanangu as long as kocha ni Jose hatuta fika popote asee.Poleni sana aise. Hope next time mtafanya vizuri....so kesho Barca anafunga ndoa ya mkeka usipitwe 😀😀😀
Ni aina flan ya bus, maana tangu game inaanza man utd hakuonyesha spirit ya ushindiMkuu masahihisho: hata kama tumepigwa leo hatukupaki basi
Ahahaaaaaaaaaaah...kunya utaendelea kunya maisha yako yote hadi unaingia kaburini,,na wakati ukiendelea kufanya tendo hilo la digestion manchester the reds devils wataendelea kutoa vipigo na makombe watachukua tukianzia leo
Hapo mwisho angesema tu kama gunnerzMpaka sasa kama kuna shabiki asitambua mzizi wa Fitina wa matatizo ya Man united ni mourinho inabidi aende kuombewa...
Hebu someni hizi comment chache kutoka official Manchester United instagram page..
View attachment 714062View attachment 714063
Na huyu Ni Brother Edo
View attachment 714064