Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilijua tu chelsea akipotea na mourinho anapotea hapa tukutane mwakani timu kiuhalisia waonatakiwa kuivaa jezi ni wawili tu de gea na matic wengine wanacheza kama wanalazimishwa tu


Rashford kavimba kichwa sana viingereza shida sana
Fukuza wote kuanza upya si ujinga
 
Carabao mneshatoka hilo kwapa utanyanyulia wapi?
 
Eti hapa alisimama akarudi nyuma chance ya wazi hii kabisa.
Msimu uliopita timu ilitoa suluhu nyingi mno ambazo kama sio uzembe na kupoteza nafasi za wazi zilikuwa ni ushindi..

Tatizo pia limeendelea kubaki vilevile ni kama wachezaji wamekutana tu kutoka mtaani na kuanza kucheza. Hamna umoja kitimu kabisa.
 
Msimu uliopita timu ilitoa suluhu nyingi mno ambazo kama sio uzembe na kupoteza nafasi za wazi zilikuwa ni ushindi..

Tatizo pia limeendelea kubaki vilevile ni kama wachezaji wamekutana tu kutoka mtaani na kuanza kucheza. Hamna umoja kitimu kabisa.
Unafika golini unaanza kuremba
 
Kwapa lipi hilo??????
 
Usijifiche mgongoni mwa arsenal!!!!!
Hukucheza nae Jana wala juzi!!!!!
Akili mchanga
 
Sidhani kama kuna timu kwa sasa inakuwa roho juu inapokutana na united nisiwe muongo hata timu za championship zinajiamini sana zinapokutana na nyie
Mmepoteza makali kabisa!!!!!!!
 


Kuna rashford kuna lingard. Watoto kilasiku hawapati game maturity

Lingard ni mzuri kwa counters. But tukiwa tuna posses hawez kucheza.

Lingard alitakiwa acheze swansea huko.

Is an average player.
Safi mkuu hujakosea
 
Aibu kubwa msimu huu, man city ndo hana mpinzani hivo, na atachukua ubingwa nadhani na gemu kumi mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…