Many players don't deserve to play for United.Huwa unamuona Bailly akiwa uwanjani hata akifanya makosa unaona anavyosikitika.Angalia interview ya Mourinho baada ya mechiMkuu belo nakubaliona na ww vizur ila leo kocha wetu kachemka hata kukemea wachezaj hamna martial limekosa goli linacheka daaaa roy kean angelala nae mbele leo ungesikika mlio kwenye vyumba vya kibadilishia nguo rashford toka ile mech ya city anajiona star sema lingard siwez kumlaum anajitahid sana pasipotokea mtu wa kumsimamia rashford itakuwa story kapoteza nafas tatu za wazi peke yake ingekuwa lukaku ungeona mayoe yake.
Daaah hawa jamaa wangejua jinsi tunavoumia mashabiki wasingefanya upuuzi huu,, nitazid wakumbuka sir alex farguson, edwin van de sir langoni rio ferdinand, nemanja vidic , patrice evra , raphael da silva , michael carrick, paulo shule, ryan giggs , ronaldo , carlos tevez, wayne rooney, louis saha dah jamaa walikua kweli watu wa kazi ,,, mourinho anaharibu pia timu yetu aende tu aje hata giggs unajua soka ni molare wale madogo akina rashford lingard yan pana takataka nying sna pale man u akina darmian akina smalling mikhi ni kuuza tu team haina spirit kabisaaaaaaaa
Huyu anachezea MUFC kibahati tu.. Atolewe kwa mkopo akakue kwanza.Mkuu belo nakubaliona na ww vizur ila leo kocha wetu kachemka hata kukemea wachezaj hamna martial limekosa goli linacheka daaaa roy kean angelala nae mbele leo ungesikika mlio kwenye vyumba vya kibadilishia nguo rashford toka ile mech ya city anajiona star sema lingard siwez kumlaum anajitahid sana pasipotokea mtu wa kumsimamia rashford itakuwa story kapoteza nafas tatu za wazi peke yake ingekuwa lukaku ungeona mayoe yake.
Ahahaaaaaaaaaaah...Hivi scouting ya Manchester iliyokuwa chini ya ndugu yake Sir Alex Ferguson makali yake yamepotelea wapi??
Tunahusishwa na wachezaji Wa hivyo hovyo.
Ahahaaaaaaaaaaah...Leo tunaanza kuwapa support Everton halafu tunakuja kwenye club yetu MUFC. Jumamosi iwe njema.
Ahahaaaaaaaaaaah...Wamembana mbavu tayari Safi sana Everton
Ahahaaaaaaaaaaah...Ninyi man u mnatakiwa mdroo au mpokee kichapo
Hii wiki ni ya pointi mojamoja au 0 point
Ulikua unamaanisha nini hapa Kiongozi..?dah! Nitarudi na yataongezeka, 4 kwa 1 leo
Ahahaaaaaaaaaaah...Leo sijui kwanini nina amani sana, mechi tunashinda hii
Ahahaaaaaaaaaaah...Akitoka Martial akiingia Rashford game tunaimaliza mapema.
Ahahaaaaaaaaaaah...Leo sijawaelewa kabisa hawa wachezaji, dah! So sad.
Ahahaaaaaaaaaaah...Ningejua ningelala mapema tu
Ahahaaaaaaaaaaah...Yes chief, sasa nimekubali. Yaani Shitty wapoteze 4 games and a draw?! It is Shitty’s title now! Labda sijui wa-collapse vipi!!
Ahahaaaaaaaaaaah...Hivi hii timu huwaga wanaenda training kweli?? Tangu nimekua shabiki wa united sijawahi kuacha mechi na filimbi haijapiga Ila leo nimetoka dah... Nimetukana njia nzima hapa naogopa ban tu ila nina hasira sana...
Ahahaaaaaaaaaaah...
Sio mbaya...
Siku nyingine ukisikia Man City anacheza nenda kaangalie...
Hautajuta kupoteza muda wako..!
NOTE:Sijakuambia uache kuishabikia timu yako.
Mourinho ameanza kuwalaumu wachezaji wake...
Itakua vyema kama wachezaji hawatorespond kwa namna mbaya..!