Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
vp huko mkeka unapumua badoDoh Mourinho kashachana mkeka wangu mapemaaaaaa
ni kweli hujashangiliaaaaaahhh mkuu umeona konte kashusha busta, mou anatuwekea hawa watoto wa kucheza vitenesi. Hata tukishinda sishangiliii
ndio kakipanga na tumeshinda sasaHuyu mou atakuwa anakula ugoro, huwezi kuwa na akili za namna hii nina uhakika hata Jamhuri Kiwhelo " Julio" hawezi kupanga kikosi kama hiki mbele ya chelsea
Nimejifunza kitu Never give up!! Heri mwisho mzuri kuliko mwanzo mzuri

ishatokea iyo miujizaHuyu young ananyota ya kupendwa sana ! Dah 2subiri miujiza kikosi kibovu
njoo uthibitishe mpira hujaangalia kweliNaomba niseme rasmi kuwa leo hata mpira sitaangalia...
Kwa kikosi hiki. Mnisamehe tu
bet wonTo be honest! Mourinho Leo Kaamua Kubeti...... Kikosi Alichopanga Kaamua Kwa Makusudi Kuchezea Hisia Za Mashabiki.....
bet wonMorinho kabet, yaani shughuli ya wanaume unapeleka wavulana, sasa ndio kikosi gani.
final done
we jamaa nakukubali sana humuWatu huwa wanamshangaa Mou akilaumu wachezaji hadharani ila sababu wengine hawafanyi anachoagiza. Angalia kipindi cha kwanza timu imefuata tactics zake vizuri Chelsea hawaonani.
Bado 45mins Chelsea ni timu nzuri lolote linaweza kutokea.
ulishachungulia kumbeIm pretty sure we gonna score again. We need that crucial second goal!