Hahahhh hatujui plan za kochaKadabra benchi
Leo mnataka kufanya counter attack kwa kutumia hao watoto huko mbele?
Mourinho anaona nafasi ya Europa ni kubwa kuliko top four.Kadabra benchi
Leo mnataka kufanya counter attack kwa kutumia hao watoto huko mbele?
Hahahhh hatujui plan za kocha
Mourinho anaona nafasi ya Europa ni kubwa kuliko top four.
aaaaahhh mkuu umeona konte kashusha busta, mou anatuwekea hawa watoto wa kucheza vitenesi. Hata tukishinda sishangiliiiHahahhh hatujui plan za kocha
Tatzo ka Boss wetu, akimpenda mcheza hata awe anaharb atazd kumpenda, kwa mfano Lingard hawez fikia kiwango cha Martial,aaaaahhh mkuu umeona konte kashusha busta, mou anatuwekea hawa watoto wa kucheza vitenesi. Hata tukishinda sishangiliii
Unajua wenzetu mpira ni sayansi. Kila mechi stats zinachukuliwa na kuwa analysed kisayansi. Hizo stats ndio zinaonesha perfomance ya mchezaji na kocha anatumia ampange nani.Tatzo ka Boss wetu, akimpenda mcheza hata awe anaharb atazd kumpenda, kwa mfano Lingard hawez fikia kiwango cha Martial,
Na akimchukua mchezaj hata awe mzr kias gan kwa Mo hana nafas kwa mfano Shaw,
Huyu mou atakuwa anakula ugoro, huwezi kuwa na akili za namna hii nina uhakika hata Jamhuri Kiwhelo " Julio" hawezi kupanga kikosi kama hiki mbele ya chelseaTatzo ka Boss wetu, akimpenda mcheza hata awe anaharb atazd kumpenda, kwa mfano Lingard hawez fikia kiwango cha Martial,
Na akimchukua mchezaj hata awe mzr kias gan kwa Mo hana nafas kwa mfano Shaw,
Martial amekuwa useless msimu huu,huenda akauzwa mwisho wa msimuTatzo ka Boss wetu, akimpenda mcheza hata awe anaharb atazd kumpenda, kwa mfano Lingard hawez fikia kiwango cha Martial,
Na akimchukua mchezaj hata awe mzr kias gan kwa Mo hana nafas kwa mfano Shaw,
Sidhan kama kawa Useless, ile law ya Use and Disuse inamsumbuaMartial amekuwa useless msimu huu,huenda akauzwa mwisho wa msimu