Moses_King
Member
- Apr 12, 2017
- 6
- 15
duuuuuu
Mkuu big fella hakupangwa kumzuia hazard, hio kazi ilikuwa ya Herrera. Mwingine. Aliepewa man to man ni Daemian on Pedro. Na hao wote walikuwa neutralized.
Ni mara ngapi umeona Hazard akiwa kimya game nzima? Stop Hazard and u stop Chelsea, zero shot on target for the first time from I dont know when!
Plastic fans, yani tatizo lenu in kujidai kujua kila kitu! Ndio maana yeye ndio menejaHuyu mou atakuwa anakula ugoro, huwezi kuwa na akili za namna hii nina uhakika hata Jamhuri Kiwhelo " Julio" hawezi kupanga kikosi kama hiki mbele ya chelsea





endelea kutuma salamuNiwasalimu kwa jina la "Ngolo" kiungo ambaye amezidiwa takwimu na Herrera & pogba lakini yupo kwenye PFA 2017 Award contenders.pia niwasalimu kwa jina takatifu kwenye imani ya football "Hazard" easter njemaa
Hao mashabiki uchwara wanadhani majina ndio yanacheza shenzi sana.Plastic fans, yani tatizo lenu in kujidai kujua kila kitu! Ndio maana yeye ndio meneja
mambo...Gemu ya Leo Blues watashida na kumaliza mechi kipindi cha kwanza na sababu ni pressure ya wachezaji wa man utd kuzuia kufungwa mechi tatu zote msimu huu.
Blues wao akili yao ipo kuzuia kupoteza point 3..patamu sana
Na mm sijasema alipewa hazard mkuu big fella naye kafanya kazi nzuri sana ya kuharibu mipango ya kina kante na matic pale kati he was gud today. Hii ishapta naona umelishikia bango niwe waz tu big fella sio my favorite player kivile bt huwa sibez shughuli yake na natambua mchango wake pale OT tangu amekuja hivyo yan....Mkuu big fella hakupangwa kumzuia hazard, hio kazi ilikuwa ya Herrera. Mwingine. Aliepewa man to man ni Daemian on Pedro. Na hao wote walikuwa neutralized.
Ni mara ngapi umeona Hazard akiwa kimya game nzima? Stop Hazard and u stop Chelsea, zero shot on target for the first time from I dont know when!