Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,912
- 10,262
Hata last season Martial magoli mengi alifunga akitokea pembenisasa kweli hata diego costa tukimpeleka pembeni angekuwa ameshinda hizo goli alizonazo..afu sio kwamba martial pembeni hachezi vizuri,ila ni chanse za kucheka na nyavu zinapungua..
Diego Costa ni Striker hajawahi kuwa winga