ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
anacheza kama pirlo ila ndio full kukoseaPogba pekee ndio jipu leo. Ningekuwa Mou ningempiga nje aingie Carrick
anacheza kama pirlo ila ndio full kukoseaPogba pekee ndio jipu leo. Ningekuwa Mou ningempiga nje aingie Carrick
Yaani tungefungwa leo Pasaka ingeota mbawa. Nina furaha ya ajabu! Musimu ujao hatushikiki hakuna cha sare hizi zilizotunyima ubingwaTumeshinda kwa sababu tumefuata tactics za Mou siyo kwa uwezo wa wachezaji.Ila leo Man U wamepiga mpira hatarii
Mhhh!! Sijakuelewa!! .....tactics za Mou...siyo uwezo wa wachezaji ....then Man U wamepiga mpira hatari???...mhhhh!! wapigaji wa hatari walikuwa kina nani?....waliozifuata tactics kina nani?......Tumeshinda kwa sababu tumefuata tactics za Mou siyo kwa uwezo wa wachezaji.Ila leo Man U wamepiga mpira hatarii
Anakaribia kuongeza mkataba wa muda mrefuShukrani sana. Nasubiri kusikia kama Babu hatakuwepo msimu ujao maana yeye ndiyo chanzo cha matatizo yetu miaka nenda miaka rudi.
Tumeshinda kwa sababu tumefuata tactics za Mou siyo kwa uwezo wa wachezaji.Ila leo Man U wamepiga mpira hatarii
Hayo maoni yake utajua tu siyo wa mtaa wetuMhhh!! Sijakuelewa!! .....tactics za Mou...siyo uwezo wa wachezaji ....then Man U wamepiga mpira hatari???...mhhhh!! wapigaji wa hatari walikuwa kina nani?....waliozifuata tactics kina nani?......
Nimefuta kauli,njoo uthibitishe mpira hujaangalia kweli
Kazi ya kocha ni kuiweka mikakati kulingana na vipaji vya wachezaji wake.Sasa ulitaka wafate za kwako? Hiyo ndio kazi ya Mourinho
Ukitaka kucheka zaid angalia reply za comments baada ya game.Haahaaahaa nimeangalia commrnts, zenu b4 game nimevheka sana


Jifunze kuwa na imani na kocha aliyepanga kikosi cha kaziNimefuta kauli,
Kiukwwli nimekula maneno yangu. Binafsi sikua na imani na kikosi kile hata kidogo.
GGMU
Martin Keown aliona mbali sanafinal done
shindeni na kwa toti sasa ...acheni keleleeni kwenye ligi tu mkuuKazi ya kocha ni kuiweka mikakati kulingana na vipaji vya wachezaji wake.
Na kwenye hilo, Mourhnio hana mpinzani.
Tangia Chelsea watufunge nne mtungi Mourhnio kabadili staili na mikakati ya mchezaji na leo mechi 22 kwenye mashindano yote hatujafungwa na Chelsea leo kakiri hilo tena kwa kuzabwa bila yeye kupiga shuti hata moja golini.
Mourhnio siyo utaniiii