Dirham
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 490
- 543
Mkuu kuna 45mn ya second half hawa wadudu si wa kuwachukulia poaLeo hamna red wanaisoma namba
Mkuu kuna 45mn ya second half hawa wadudu si wa kuwachukulia poaLeo hamna red wanaisoma namba
Kabsa mtu anakufa leo vp kuna haja ya mabadiliko kwenye kikosi?Manutd wanahitaji ushindi droo haina maana kwenye top four
Mungu saidia...tusije kukata mafuta 2nd halfManutd wanahitaji ushindi droo haina maana kwenye top four
SkySport1 mkuuNo channel gani mkuu nami niingie?
Mkuu ni wazuri ila wanakufa hao leo kante yupo hivi?Mkuu kuna 45mn ya second half hawa wadudu si wa kuwachukulia poa
Mkuu vibanda umiza siyo unaweza kushangaa watu wanakuagizia panadol utulize maumivuhuna mchezo kabsa mubashara
Kante jua la jioni leo limewahi kuzamaMkuu ni wazuri ila wanakufa hao leo kante yupo hivi?
Kabisa mkuu ni hatari kwa afyaMkuu vibanda umiza siyo unaweza kushangaa watu wanakuagizia panadol utulize maumivu
Chance kama mbili hiviGoli alilokosa Young ni moja ya makosa ya musimu huu kutotumia nafasi hizi