Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Ander Herrera injini ya timu.
Leo hamna red wanaisoma nambaLeo naona ni man to man...herera na harard!!
Konte kanuna
leo wakisema washambulie tunawaongeza conte kidomodomo sana na mashabiki wa Chelsea wanasumbua bora ubingwa uende spursWamezoea kutangulia kufunga halafu kulinda goli
Acha tuwafumue hawa watu!!Leo hamna red wanaisoma namba
huna mchezo kabsa mubasharaGame ya pressure kama hii naangalizia kwenye simu, mubashara na Mobdro
No channel gani mkuu nami niingie?Game ya pressure kama hii naangalizia kwenye simu, mubashara na Mobdro