Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sidhan kama kawa Useless, ile law ya Use and Disuse inamsumbua
kabisa,alikuwa anacheza kati,mou kampeleka pembeni..mbona mwaka jana alikuwa vizuri alivyokuwa kati pale na akawa top scorer wetu last season..
 
Unajua wenzetu mpira ni sayansi. Kila mechi stats zinachukuliwa na kuwa analysed kisayansi. Hizo stats ndio zinaonesha perfomance ya mchezaji na kocha anatumia ampange nani.

Sasa sisi washabiki ambao hata hatujui carrington aka aon trainging complex ikoje tunataka tunaowapenda ndio wacheze.

On paper martial/shaw are more talented than lingard etc lakini perfomance zao hazijustify talent yao kupangwa. Anapangwa anae perform sio nani ana kipaji au bei kubwa.
Mkuu kna vitu ambavo vinaoneka wazi, hata kwenye Tv.
Nadhan utakubaliana na mm kuwa kila Kocha huwa kuna wachezaj anowapenda kuwatumia haijalish hzo stats, Carrick alikuwa key player kipind cha Ferguson, lakn kwa Mo hampi nafas sana. Angalia Fellain anavocheza, lakn Kocha ndo anamkubali
 
Worldwide media presence bigger than usual for today unsurprisingly. And Spider-Cam is back
 
Attachments

  • IMG_20170416_173815.jpg
    IMG_20170416_173815.jpg
    126.2 KB · Views: 28
kabisa,alikuwa anacheza kati,mou kampeleka pembeni..mbona mwaka jana alikuwa vizuri alivyokuwa kati pale na akawa top scorer wetu last season..
Martial tangu akiwa Monaco huwa anacheza kutokea pembeni na hata timu ya taifa France anacheza winga alisajiliwa United haikuwa na striker ikabidi achezeshwe na akafanya vizuri.Amekuja kocha mwingine na philosophy nyingine akamrudisha pembeni kubadilishwa namba sio sababu ya kushuka kiwango Rojo,Herrera,Valencia,Young,Mata wamebadilishwa namba lakini viwango ndio vimeongezeka
 
Mkuu kna vitu ambavo vinaoneka wazi, hata kwenye Tv.
Nadhan utakubaliana na mm kuwa kila Kocha huwa kuna wachezaj anowapenda kuwatumia haijalish hzo stats, Carrick alikuwa key player kipind cha Ferguson, lakn kwa Mo hampi nafas sana. Angalia Fellain anavocheza, lakn Kocha ndo anamkubali
Visit training ground one day utajua kwanini fulani anapangwa na fulani hapangwi. Kocha haangalii sura,jina. Wachezaji wana style na uwezo tofauti. Anaweza kucheza mechi hii akakosa ingine. Tulijuwa na Seb Veroni alikuwa excellent ECL lakinni ikija EPL anachemsha.
 
Martial tangu akiwa Monaco huwa anacheza kutokea pembeni na hata timu ya taifa France anacheza winga alisajiliwa United haikuwa na striker ikabidi achezeshwe na akafanya vizuri.Amekuja kocha mwingine na philosophy nyingine akamrudisha pembeni kubadilishwa namba sio sababu ya kushuka kiwango Rojo,Herrera,Valencia,Young,Mata wamebadilishwa namba lakini viwango ndio vimeongezeka
sasa kweli hata diego costa tukimpeleka pembeni angekuwa ameshinda hizo goli alizonazo..afu sio kwamba martial pembeni hachezi vizuri,ila ni chanse za kucheka na nyavu zinapungua..
 
To be honest! Mourinho Leo Kaamua Kubeti...... Kikosi Alichopanga Kaamua Kwa Makusudi Kuchezea Hisia Za Mashabiki.....
 
Back
Top Bottom