Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hahahaha wameinamisha sura zao.
Pogba mbayaaaaaa hapendi ujinga
burudani sana.Hapendi ujinga kabisa
Hahahaha wameinamisha sura zao.
Pogba mbayaaaaaa hapendi ujinga
burudani sana.😀😀Estadio de mpemba!Naungana na wew yani nusura nivunje kitu hapa estadio de mpemba
Msaga sumu. Usisahau kupitia hapa kutoa pongezi.Nimepita kuwasalimu mapema kabisa nitarudi baadaye mechi ikiisha.
Bailly5 najua siku hizi unanikimbia watafute cute b na everlenk waambie leo Pogboom atafanya mjaae humu, bila kumsahau herrera maana wiki kadhaa jukwaa lilipoa
View attachment 406005
Mbona leo siwaoni jamaa zetu wanaojaza thread humu?
Hutakaa uwaone tena..Man U imesharudi

Hahaaaa msagasumu hongereni ingawa post yangu ilijieleza mapema naona mlitaka kurudisha kile kipigo cha 5Msaga sumu. Usisahau kupitia hapa kutoa pongezi.
Hamna msiba hapa. Ulizoea kudowea vya msiba.
POGBAAAAAAAAAAAAA
Usijifiche Njoo tuu Msaga sumu. Kuna uji utakunywa maana pogba kajua kukunyoosha.Mkaanga sumu naona umetoka kwenye pango ulilojificha
Leo social network zitasimama maana mmerudi toka likizo ya vipigo iliyowapotezaHii Ndio Man u atiiii...pana chezea..

Asante msagasumu mwenzangu. Haya kwa pamoja tuseme...Hahaaaa msagasumu hongereni ingawa post yangu ilijieleza mapema naona mlitaka kurudisha kile kipigo cha 5
Ha Ha Ha....majirani wamesinyaaa.![]()
![]()
burudani sana.
Hapendi ujinga kabisa
Hii Ndio Man u atiiii...pana chezea..
Man City anamsubirini kwenye kikombe cha mbuzi, tarehe 26.10Naona kama tukiendelea hivi aseno tutamla 8 tena
Unazungumzia hela gan labda?!!!!!!!Bado hajarudisha hata robo ya fedha aliyonunuliwa mkuu [HASHTAG]#realisticBE[/HASHTAG]
Kwanzia Leo nakuendelea nasagasumu na kucheza vigodoro rasmi.Leo social network zitasimama maana mmerudi toka likizo ya vipigo iliyowapoteza![]()
![]()
Haya msagasumu ngoja nifanye hiviAsante msagasumu mwenzangu. Haya kwa pamoja tuseme...
POGBAAAAAAAAAAAAA
Eti wakaanga sumu haaah raha sana humu ndaniWakaanga sumu leo sijui watasema nini wallet imeongea leo shut lile euro 50 kichwa cha goli 50 euro ngoja niongeze unywaji
LEO CJUI WATASEMA NN WALE MAJIRAN ZETUPOGBA: 'I'm v happy for the result & for the goal. I never look at newspapers but I always say one thing: at the end we will see”
![]()
Wewe hauna tofauti na al-marhum Sheikh Yahya. Jiliwaze tu. Huwezi kujua ushabiki wangu kwa sababu sina ushabiki. Unabahatisha kama Laisi wangu, wachumi wanasema uchumi unakuwa kwa kasi, wadanganyika wanaomba miaka 5 iishe ili waondoke na viwanda vyao.Consoling you...
Leo nimejua ushabiki wako uko wapi...hahahahahahahahaha