radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Nani kati yenu alishawahi kushuudia mtu akizama
2001 sir alex 6 wenger 1
liverpool 6 wenger
mourinho 6 wenger
nimeshuhudia mtu akizama vibaya sana mkuu
Nani kati yenu alishawahi kushuudia mtu akizama
njaa itoke wapi wakati tumeshashiba leo subiri kipgo cha mwakaUshindi wa njaa labda
ha ha ha2001 sir alex 6 wenger 1
liverpool 6 wenger
mourinho 6 wenger
nimeshuhudia mtu akizama vibaya sana mkuu
leo tunaenda kuharibu timu ya lecister kwa vipgo vya magoli mengi stay tune 8:30 mchanaAll the best timu yangu kipenzi.......
ha ha ha huo mwaka hautasahaulika kabisaamimi hapa sir alex 8 arsene wenger 2
HAHAAA umeanza ukuda asubuhi yote hii, hili jukwaa halijawahi poa wasipokuwepo wenyeji, wakuda wanajaa tele humuNimepita kuwasalimu mapema kabisa nitarudi baadaye mechi ikiisha.
Bailly5 najua siku hizi unanikimbia watafute cute b na everlenk waambie leo Pogboom atafanya mjaae humu, bila kumsahau herrera maana wiki kadhaa jukwaa lilipoa
View attachment 406005

😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡Nimepita kuwasalimu mapema kabisa nitarudi baadaye mechi ikiisha.
Bailly5 najua siku hizi unanikimbia watafute cute b na everlenk waambie leo Pogboom atafanya mjaae humu, bila kumsahau herrera maana wiki kadhaa jukwaa lilipoa
View attachment 406005
herrera upooooooooooogba au ndio kinyongeee mana kwa unyonge ndugu zangu mnatia huruma hivi leo ndio game ya ngapi mou amepoteza mkichapwa na hiiHAHAAA umeanza ukuda asubuhi yote hii, hili jukwaa halijawahi poa wasipokuwepo wenyeji, wakuda wanajaa tele humu
Hahahaaa naomba na baadaye uwepo tutakapojaa wakuda humuHAHAAA umeanza ukuda asubuhi yote hii, hili jukwaa halijawahi poa wasipokuwepo wenyeji, wakuda wanajaa tele humu

andika kimakonde labda nitalielewa swali lako, HAHAAA unataka kujua alizopoteza au atakazokua amepoteza?herrera upooooooooooogba au ndio kinyongeee mana kwa unyonge ndugu zangu mnatia huruma hivi leo ndio game ya ngapi mou amepoteza mkichapwa na hii
siku za weekend nakua nimejaa tele humu mkuu, sina wasi wasi na jose namuelewaHahahaaa naomba na baadaye uwepo tutakapojaa wakuda humu![]()
Future participle tense kuwa mou amepoteza hilo nalifahaamuandika kimakonde labda nitalielewa swali lako, HAHAAA unataka kujua alizopoteza au atakazokua amepoteza?