Naungana na wew yani nusura nivunje kitu hapa estadio de mpembaKama hyo goli zlatan angeitupia, ingekuwa bonge ya goli
Ee Mungu hizi goli ziongezeke mara 2.mpira ni half time manchester 4 anaongoza
Haaaah leo raha naangalia mpira uku nacheka na ku enjoyAcheni masihara jamani haya magoli ni kweli ama.? Yani mpaka kamchozi kafuraha kamenitoka.
Mashabiki maandaziila humu nimegundua kuna mashabiki wanafki siku zote hamuonekani leo mnatokea
Kojoa ukalale chama kubwa hiliNyie Man U dawa yenu Guardiola tu.....alafu leo mnacheza kwa mihemko baada ya kudhihakiwa
Umetumwa?What a finish....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yani dah nimemiss hii game.......nafurahi kuona hayo magoli.Haaaah leo raha naangalia mpira uku nacheka na ku enjoy
jana nilikuambia lazma tuchinje mtuAisee utaondoa upako.
Nakemea hayo maono yako kwa jina la POGBA .Hahahahaha zinarudiiiiiiii...yani mkishinda ni 4 - 3 au 5 - 4 hahahahahahahah