Dah hizi zitupatie goli jamani.zimeongezwa dakika 3
2 mamyBado dakika ngapi mpira uishe.
Kwahiyo leo rooney hajacheza kabisa.?Ili kumpa confidence Roone, angeingia badala ya Zlatan No. 9.
Aya mwaya2 mamy
Naachaje kwa mfano na pogba kafunga.Leo umeibuka
dk 80 kaingia ila hajafanya kituKwahiyo leo rooney hajacheza kabisa.?
Amen.....Man of the Match: MATA
Ooooh haya.dk 80 kaingia ila hajafanya kitu