Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwanzia Leo nakuendelea nasagasumu na kucheza vigodoro rasmi.
Baada ya pogba kutotaka ujinga.
Ndugu yangu katika kusaga sumu sema POGBAAAAAAAAAAAAA
Natazamia kukuona katika hali hii wiki 3 mfululizo katika ile fixture yenu usikimbie tu wakati mbaya unapowafika
 
Kile cha 5-3? Doh! Usaga sumu ukichanganya na ukaangu sumu ni hatari sana...yaani ili mradi ujitutumue tu, hadi unazungumzia matokeo ya misimu miwili/mitatu iliyopita!!
Hahahaaa mkuu lazima nitafute pa kutokea .... nilitazamia leo mshinde 6 mpaka 8 nikashangaa mkaja ku-relax ama mliwaonea huruma?
 
il capitano
CtH3XgrWcAE6C7N.jpg
 
Kila MTU na salome wake..

Diamond Salome wake Zari

Idris Salome wake Wema

Yanga Salome wake simba

Ccm Salome wake Chadema

Chadema Salome wake Ccm

Manchester United Salome wake Leicester City
watu cjui huwa wanawaza nn
 
Back
Top Bottom