Aisee utaondoa upako.***** tunakosa magoal ya wazi
Kama hyo goli zlatan angeitupia, ingekuwa bonge ya goli![]()
Zlatan Ibrahimovic goes close with a volley.
Yaani man u ni fireeeeeeeeeeeeeeeeTupo vizuri
The people who make thoday's team tick are Herrera and Mata.Huhitaji kuwa na PhD kuelewa kwamba Mourinho alikuwa akikosea setup ya timu...leo kapata jibu...Pogba na Mata siyo wachezaji wa kuwabana kwenye positions zao...waache wawe huru ndiyo utaona umuhimu wao...lakini bila kusahau kumweka Anders, Morgan au Carrick kwenye namba 6...
Leo [HASHTAG]#WakaangaSumu[/HASHTAG] wanachungulia tu.....hivi yule mzee wa khe khe khe khe Wacha na mdogo wake Wacha1 wapo wapi?
Yah very true acha awe mshangiliajiInabadi akubali tu kwamba sasa anapaswa kuwa role player tu...
Wewe ndiyo mmoja wa [HASHTAG]#WakaangaSumu[/HASHTAG]...The people who make thoday's team tick are Herrera and Mata.
Bado Pogba hajafanya anything peculiar.
So far Rashford has been more important/valuable than him.
Watu ambao hawajawa effective sana ni Lingard na Ibrahimovic...at least Pogba can claim more credit over them.
Acheni masihara jamani haya magoli ni kweli ama.? Yani mpaka kamchozi kafuraha kamenitoka.
Wewe ndiyo mmoja wa [HASHTAG]#WakaangaSumu[/HASHTAG]...The people who make thoday's team tick are Herrera and Mata.
Bado Pogba hajafanya anything peculiar.
So far Rashford has been more important/valuable than him.
Watu ambao hawajawa effective sana ni Lingard na Ibrahimovic...at least Pogba can claim more credit over them.
Huhitaji kuwa na PhD kuelewa kwamba Mourinho alikuwa akikosea setup ya timu...leo kapata jibu...Pogba na Mata siyo wachezaji wa kuwabana kwenye positions zao...waache wawe huru ndiyo utaona umuhimu wao...lakini bila kusahau kumweka Anders, Morgan au Carrick kwenye namba 6...
Leo [HASHTAG]#WakaangaSumu[/HASHTAG] wanachungulia tu.....hivi yule mzee wa khe khe khe khe Wacha na mdogo wake Wacha1 wapo wapi?
Hahahahaha zinarudiiiiiiii...yani mkishinda ni 4 - 3 au 5 - 4 hahahahahahahahWewe ndiyo mmoja wa [HASHTAG]#WakaangaSumu[/HASHTAG]...
Kama umechukia sana kasage chupa ule bro...
Mje bas na nyie tucheze nanyiNyie Man U dawa yenu Guardiola tu.....alafu leo mnacheza kwa mihemko baada ya kudhihakiwa