Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

I know, his hatred towards other teams clouds his reasoning.

Niwachukie kwa mpira gani wa rushwa? au butuabutua!

Wakishindwa hoja wanakimbilia viroja...

Mkuu haya sasa guidelines only wakati Manure wanacheza. Sheria haziwezi kugeuzwa kuwa guidelines period! .. .... go back to school

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Next time ndo mjue katika Manure kuna U-Red Devil. Sijui leo mtachonga frm which angle.
Alamsiki waungwana.
Hii mechi sijaiangalia kwa hiyo siwezi kucomment ila from what I read naona tulikuwa na woeful first half. Ngoja niangalie highlights kwanza.
 
Hawa Marefa watawabeba Mpaka lini???? Ile ni Penalt kabisa,,,hata refa ungekuwa wewe...pale ungewapa Penalt hawa Madogo......

MANCHESTER UNITED came back from the dead in a stunning 16-minute blitz. But they needed a helping hand from ref Peter Walton to stir them back into life. Blackpool were cruising at 2-0 when Rafael body-charged Luke Varney to the ground in the box. Walton had a perfect view — yet incredibly refused to give a spot-kick.

Mwaka huu lazima kitaeleweka tu wabembwe hadi mbeleko ikatike.
 
Mimi sikuangalia hii mechi nilikuwa nawaangalia vijana emirati ila sishangai kwa nini always nyinyi munaonekana kupendelewa na marefa?
Sijui kuna siri gani baina ya Fergie / FA na Referees association? Imeshakuwa inaudhi sasa , miaka yote mumekuwa na katabia ka ku-gain at least 10 points kutokana na dodgy referees decisions na watu wakisema kweli yanawakuta ya akina mzee wa facts Benitez na Babel!! Where is fair play?
BTW hongereni , at the end of the day 3 points is what matters whether umezipata kwa ngeta ama kihalali it all counts!
 
Duuhh.....Mashetani hongereni sana...........hata sikuamini macho nilivyorudi kuangalia score board..........

nimetoka kuangalia recorded version...................acheni roho ya korosho.....labda nyie hamkucheza mpira............Mashetani Spirit waliyoionyesha leo kwa kweli hawa ni MASHETANI............kwa waliocheza mpira wataelewa..............wengine wasiojua mpira watabeza..........
 
BJ & CO hongereni sana kwa ushindi mkubwa maana mlishaanza kuhaha lakini determination kubwa mliyokuwa nayo imewawezesha kuzizoa points zote tatu...hongereni sana (Yule Bebatovu msimu huu ni moto wa kuotea mbali)
 
Kazi ipo msimu huu, tukishindwa mnatuponda, tukishinda u go out kutoka execues zisizo na kichwa wala miguu, huwa nawaomba kitu kimoja na hamtakikukitekeleza: Next tm when decision turn against us (regardless na end results), mje hapa na arguments za kututetea, nyie si mahakimu siku hizi?
Unless othersiwe u are BAD LOOSERZ na mtaishia kunawa tu May mwishoni.
 
Dah, mi nlijua bikra ya Man U inaondolewa na ku-pave way kwa kijana wetu Ancelloti kuchukua nchi..lakini anyways mwisho wa fitna za marefa ni aibu. Yule mdogo Rafael katoa penati refa kaminya akaishia kuumia..a karma eeh? Halafu watu wana sema eti Ian Holloway is a genius? genius ?? really? timu inaongoza 2-0 na inaishia kupoteza mechi na ku-concede THREE goals in a VERY DISSAPOINTING way. I guess 'geniusness' means something else!
 
Mimi sikuangalia hii mechi nilikuwa nawaangalia vijana emirati ila sishangai kwa nini always nyinyi munaonekana kupendelewa na marefa?
Sijui kuna siri gani baina ya Fergie / FA na Referees association? Imeshakuwa inaudhi sasa , miaka yote mumekuwa na katabia ka ku-gain at least 10 points kutokana na dodgy referees decisions na watu wakisema kweli yanawakuta ya akina mzee wa facts Benitez na Babel!! Where is fair play?
BTW hongereni , at the end of the day 3 points is what matters whether umezipata kwa ngeta ama kihalali it all counts!
Kama hujaangalia game bora ukae kimya
 
Ref kawabeba kaka...au Unabisha......sie ndo tunaenda katika final kaka.....so far 3-0
Mkubwa hata kama wangekuwa wanaongoza 4 bila ,ile comeback ya ManU second half tungeshinda hata goli 6.Hii sio mara ya kwanza tuna-fight back kutoka 2-0, 3-0 then tunakuja kuibuka na ushindi
 
Babu SAF anasema..........ali-scream kwa Berbatov kumuambia ampe pasi mtoto Chicharito ili afunge goli la tatu.....lakini Beba akajiamini zaidi na ku-score............sijui ingekuwaje Beba angekosa lile goli............
 
BJ & CO hongereni sana kwa ushindi mkubwa maana mlishaanza kuhaha lakini determination kubwa mliyokuwa nayo imewawezesha kuzizoa points zote tatu...hongereni sana (Yule Bebatovu msimu huu ni moto wa kuotea mbali)

...haki ya nani tena, Berbatov ni balaa msimu huu kama alivyoanzia Spurs...
jamaa ni balaa!!!

...huu ni uthibitisho mwingine kwa SAF hawakuwa wanampa fair 'treats' TEVEZ maskini,
Rooney pamoja na maguvu na kipaji chake, ni mdebwedo, ...too Overrated/hyped eti ni 1st choice striker!...
 
Mbu kuna faida kubwa sana ya kuwa na wachezaji wa aina tofauti Berbatov,Rooney na Chicharito kila mmoja ana staili tofauti juzi Wine Rooney alichemsha kuingia Chicharito kazi ikawa nyepesi
 
Babu SAF anasema..........ali-scream kwa Berbatov kumuambia ampe pasi mtoto Chicharito ili afunge goli la tatu.....lakini Beba akajiamini zaidi na ku-score............sijui ingekuwaje Beba angekosa lile goli............
Pale ndo niliona confidence ya Berba mana Chicha alikuwa yupo kwenye nafasi nzuri sana..nilipenda kujiamini kwake na kushinda...19 goals kibindoni!! 5pts gap to the 2nd Ass hole
 
Van der Sar to hang up gloves

Thursday 27th January 2011 9:02

VanderSar_2512502.jpg

Van der Sar: Time to be a family man

https://www.skybet.com/skybet?action=GoEvClass&id=5&aff=4800&TT_Top_BL

Veteran Manchester United goalkeeper Edwin van der Sar has confirmed will retire from football at the end of the season.
The 40-year-old former Holland international moved to Old Trafford from Fulham in 2005 and helped the Red Devils to three Premier League titles and Champions League glory in 2008.
Quoted on the website of his management agency, he said: "It is now time to pay attention to my family."
Van der Sar has been contemplating hanging up his boots since his wife Annemarie collapsed with a brain haemorrhage in December 2009.
"I cannot really identify a time when it [the decision] happened," said the former Ajax man. "Let's just say that it was playing on my mind from the moment Annemarie had her stroke.
"She has fought back from it. We decided on another year in England and thus to stay at Manchester United.
"But, once engaged in the season, the thought of saying goodbye started to gnaw a bit more emphatically."
United goalkeeping coach Eric Steele believes van der Sar will go down alongside former Red Devil Peter Schmeichel as one of the club's greats following his decisive penalty save from Nicolas Anelka in the Champions League final shootout against Chelsea in May 2008.
Steele told Radio Manchester: "Edwin will retire at the end of the season.
"It has been a mutual decision between the manager, the team and Edwin.
"He has been a fantastic servant. I was very lucky. I worked alongside Peter Schmeichel at Villa and I worked with Edwin for two and a half years.
"That penalty save in Moscow has elevated Edwin alongside Peter."
Van der Sar admitted it had not been an easy decision but he feels the time is right.
He added on www.sport-promotion.nl: "One minute you're out. The next, you question it again. I thought about stopping, maybe a year ago. It is a difficult process. After a defeat, I thought differently than after playing a few good games in a row.
"My age played no role. I am 40 years old, but I still feel fit.
"And then the decision came suddenly. Do not ask me how or why, but suddenly you know. That was sufficient.
"The time has come to devote greater attention to my family - although they have never complained. Everyone in the family has indeed always had to focus on me, but we have also had a lot in return."
The announcement will come as no surprise to United boss Sir Alex Ferguson.
"We are planning for this being his last season," he said last month.
Given his vast experience, Van der Sar is bound to be an attractive proposition as a coach, and has been linked with a role in Ferguson's backroom staff.
"Edwin is a player who would be of interest in terms of his knowledge and standing in the game," added the Scot.
Having stated on numerous occasions his regret at not bringing in Van der Sar as an immediate replacement for Schmeichel when the Dane retired in 1999, Ferguson will want to avoid being similarly exposed this time around.
Denmark international Anders Lindegaard has already been brought in from Aalesund, while Schalke's Manuel Neuer continues to be linked with an Old Trafford move.
Van der Sar started his career with Ajax in 1990 and enjoyed nearly a decade of success in Amsterdam.
He picked up four Eredivisie titles and three Dutch cups on the domestic front and savoured European success with a UEFA Cup win in 1992 and Champions League glory three years later.
Two years at Juventus followed before a switch to Fulham in 2001. He soon established himself as one of the most reliable keepers in England and attracted the attention of United in 2005.
Van der Sar was charged with the task of filling the boots of Schmeichel, who left Old Trafford in 1999 after a wonderful spell at the club which ended with a Champions League victory.
Mark Bosnich, Massimo Taibi, Raimond van der Gouw, Fabien Barthez, Roy Carroll and Ricardo had all tried and failed to command the United defence in the same manner as Schmeichel before Van der Sar arrived between the posts.
Van der Sar retired from international football after Euro 2008 and, although he briefly returned to help out Oranje coach Bert van Marwijk in two 2010 World Cup qualifiers a few months later, he hung up his gloves for good after that with a national record 130 caps to his name.
 
Munatisha kwa lipi? kwa kukaa miaka 5 bila kombe?kwa kupigwa na timu ndogo kama west brom? kwa lipi embu fafanua//
 
Pale ndo niliona confidence ya Berba mana Chicha alikuwa yupo kwenye nafasi nzuri sana..nilipenda kujiamini kwake na kushinda...19 goals kibindoni!! 5pts gap to the 2nd Ass hole

Yap babu SAF now has full confidence in Berbatov!! worry yangu sasa ni kwa Rooney, I dont know wats going on His mind now after seeing Chicharito making a huge diffrence in such a tense game.
 
Wll its true kwamba Rooney is overrated,lakini tukumbuke kile alichofanya last year. Siamini kwamba He has become a bad player in just 8 months...He is having a bad time sawa na Berbatov alivyokuwa in the past 2 years, this year He has become a different and effective player..so I think Rooney can still shine if not this season it can be next.
 
Mbu kuna faida kubwa sana ya kuwa na wachezaji wa aina tofauti Berbatov,Rooney na Chicharito kila mmoja ana staili tofauti juzi Wine Rooney alichemsha kuingia Chicharito kazi ikawa nyepesi

Yap ni kweli..lakini what I see, overall play ya Rooney ukiondoa mechi ya juzi imekuwa nzuri sana, that guy plays for the team rather than individual glory like CR....Having Rooney in the team hata kama asipofunga ni inspiration nzuri sana..we angalia alivyocheza kwenye ile mechi na Birmingham, alitoa bonge la pasi kwa Babu Giggs kufunga baada ya kufanya one- two nzuri sana na Berbatov.
 
Mimi sikuangalia hii mechi nilikuwa nawaangalia vijana emirati ila sishangai kwa nini always nyinyi munaonekana kupendelewa na marefa?
Sijui kuna siri gani baina ya Fergie / FA na Referees association? Imeshakuwa inaudhi sasa , miaka yote mumekuwa na katabia ka ku-gain at least 10 points kutokana na dodgy referees decisions na watu wakisema kweli yanawakuta ya akina mzee wa facts Benitez na Babel!! Where is fair play?
BTW hongereni , at the end of the day 3 points is what matters whether umezipata kwa ngeta ama kihalali it all counts!

Hukuangalia mechi lakini umejua kuwa tumependelewa? Hehehe....!!! Weekend njema watani na wadau wote wa Man Utd.
 
Back
Top Bottom