Questt
Tulia kijana, mech mbichi sana hii.
Akija Wacha1 hapa patakuwa hapakaliki aisee khe khee khe khe
Questt
Asavali umekubali. M nakwambia mech bado ww wabisha. Asa hizo dakika kumi zingetolewa sie tuwe nyuma mngechonga sana. asa sijui ref kaziweka kwa faida ya nani.
Next time ndo mjue katika Manure kuna U-Red Devil. Sijui leo mtachonga frm which angle.
Alamsiki waungwana.
I know, his hatred towards other teams clouds his reasoning.That guy will never, ever have any reasonable and impartial argument....you're going to have a long and boring ride, good luck to you mate!
Wakishindwa hoja wanakimbilia viroja...Khe khe khe kumbe mpira unachezwa kwa general guidelines khe khe khe khe walioweka sheria wameweka urembo no wonder hamuishi kupeleka brown envelopes kwa FA khe kheeeeeeeeeee. Mkuu siwezi kujishusha kwenye level yako khe kheeeeeeeeeee pole sana.
Man Utd manager Sir Alex Ferguson on ESPN: "The first half we were battered and we couldn't handle Charlie Adam, his corner kicks are worth £10m. We changed it at half-time, brought on Ryan Giggs, started to penetrate and, in the end, ran out deserved winners. The team kept going, playing their football penetrating and they got their reward for that. His (Javier Hernandez's) pace and timing of the runs are fantastic. He is so good at the and could have scored four goals. He has made a tremendous impact."