Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi we wacha uliangalia mechi kweli? Rafael hakuwa na intention ya kumfanyia foul mchezaji, hizo sheria ulizopost ni general guidlines do they cover accidents kama iliyotokea kwa Rafael? No. Eti huo ndio unaita ushahidi wa kujustify ya kadi aliyopewa gtfoh, tuwekee instant replay from both angles(ushahidi) otherwise stick kwenye kucopy and paste habari na picha za the sun.
Well said. On addition to tht, base on facts, mchezaji akishakuwa na yellow card bears some kind of protection from the ref asipewe another yellow kwa incidence inayofwata, at least akicheza faulo mbili, thts why we normally sees refs wanakuwa wanamhesabiwa na kumwambia kuwa 'ukicheza nyingine, nakulamba njano/red moja kwa moja'.
Dd Rafa get tht chance?, no, i dont thnk so.
 
...dah, ama kweli mmejizatiti kutokupoteza game msimu huu...
bado nawaombea mpoteze japo game moja aisee...itakuwa faraja sana kwangu.

Msimu huu imekuwa ngumu sana kwangu kufunga kambi humu kwenye jukwaa lenu, hamna doa!
Berbatov ame step up vizuri msimu huu,...
well done buddies.
 
Hivi we wacha uliangalia mechi kweli? Rafael hakuwa na intention ya kumfanyia foul mchezaji, hizo sheria ulizopost ni general guidlines do they cover accidents kama iliyotokea kwa Rafael? No. Eti huo ndio unaita ushahidi wa kujustify ya kadi aliyopewa gtfoh, tuwekee instant replay from both angles(ushahidi) otherwise stick kwenye kucopy and paste habari na picha za the sun.

That guy will never, ever have any reasonable and impartial argument....you're going to have a long and boring ride, good luck to you mate!
 
Hivi we wacha uliangalia mechi kweli? Rafael hakuwa na intention ya kumfanyia foul mchezaji, hizo sheria ulizopost ni general guidlines do they cover accidents kama iliyotokea kwa Rafael? No. Eti huo ndio unaita ushahidi wa kujustify ya kadi aliyopewa gtfoh, tuwekee instant replay from both angles(ushahidi) otherwise stick kwenye kucopy and paste habari na picha za the sun.

Khe khe khe kumbe mpira unachezwa kwa general guidelines khe khe khe khe walioweka sheria wameweka urembo no wonder hamuishi kupeleka brown envelopes kwa FA khe kheeeeeeeeeee. Mkuu siwezi kujishusha kwenye level yako khe kheeeeeeeeeee pole sana.

Man ni bingwa.

Tumekusikia .... .... khe khe kheeeeeeeeee

Well said. On addition to tht, base on facts, mchezaji akishakuwa na yellow card bears some kind of protection from the ref asipewe another yellow kwa incidence inayofwata, at least akicheza faulo mbili, thts why we normally sees refs wanakuwa wanamhesabiwa na kumwambia kuwa 'ukicheza nyingine, nakulamba njano/red moja kwa moja'. Dd Rafa get tht chance?, no, i dont thnk so.

Yaani kubebwa na mbeleko khe khe kheeeeeeeeeeee mtabebwa sana mwaka huu.
 
Wacha1 hakosi majibu anapenda kulialia kama mtoto kanyimwa maziwa subiri atakuja na utetezi wa ajabu

Mkuu unaweza google sheria za soka ambazo ndio zinafuatwa na timu zote katika mashindano tofauti . Haiingii akilini ati watu wazima wacheze mpira bila sheria na wafuate guidelines za Eqlpz, Belo Manda et al. Huu mchezo ni multi-million dollar revenue chacha tuache kutumia sheria Are you kidding me! Labda muanzishe league yenu na mafia wenzenu kutoka Chelsick ambao wamebobea kuuza unga na wizi kwenye maduka, supplier mkubwa pale ni JT anachukua kutoka kwa baba yake, kabla ya kila mechi wanabwia unga khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

BTW ulisalimika A town?
 
...dah, ama kweli mmejizatiti kutokupoteza game msimu huu...
bado nawaombea mpoteze japo game moja aisee...itakuwa faraja sana kwangu.

Msimu huu imekuwa ngumu sana kwangu kufunga kambi humu kwenye jukwaa lenu, hamna doa!
Berbatov ame step up vizuri msimu huu,...
well done buddies.

AW+Mbu=:busu
Ila ndugu yangu Wacha1 ni anapenda :argue:, dawa yake iko jikoni. Tunamletea Emirata.
 
Mkuu unaweza google sheria za soka ambazo ndio zinafuatwa na timu zote katika mashindano tofauti . Haiingii akilini ati watu wazima wacheze mpira bila sheria na wafuate guidelines za Eqlpz, Belo Manda et al. Huu mchezo ni multi-million dollar revenue chacha tuache kutumia sheria Are you kidding me! Labda muanzishe league yenu na mafia wenzenu kutoka Chelsick ambao wamebobea kuuza unga na wizi kwenye maduka, supplier mkubwa pale ni JT anachukua kutoka kwa baba yake, kabla ya kila mechi wanabwia unga khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

BTW ulisalimika A town?

Yeah, biashara ya madawa inalipa sana maana mateja Paul Merson na Tony Adams wanatoa pesa kibao.

ARSENAL+SIGNED+PAUL+MERSON.JPG
 
Wacha1 hii mbona umesahau kuijibu

Mkuu Wacha1 si mjinga hapa hawezi kujibu sana sana atajifanya hajaiona.

Vipi unajifunza mandarin au unataka kupelekwa far-east? Huwa sijibu pumba na wale wenzio ambao huwa wanaongea pumba nawaweka kolokoloni chacha njomba kama chwali haieleweki itajibiwa vipi? Au kama uko kolokoloni chichitemu hairuhushu kujibiwa.

Cha msingi kama nilivyosema mwanzo EPL haifuati guidelines kama wanoko wenzio wanavyofikiria kuna sheria na sheria hizo ni msumari hata kama unatembeza brown envelopes.

Last time mlisingizia barafu mkampeleka yule refa wenu mnayempa brown envelops chacha leo mtasingizia nini ni lazima mkwaane na hawa wachezaji wa mchangani angalieni tu msijikwae nasikia Chelsick ati na wao wameinua matumaini na Mungiki Brother tayari yuko LIVE anasubiri tu kujitokeza rasmi pindi watandaza soka la kiukweli watakapopoteza nechi khe khe kheeeeeeeeeeeeeee dua la kuku hilo khe khe khe eeeeeeee

Angalia babu yenu hata aibu hana baada ya kusikia Wenger anataka kuleta kifaa kipya tayari yuko nyuma nyuma na ukuda wake mtakonda mwaka huu khe khe kheeeeeeeeeeeeee

man-u-splash_1236341a.jpg

Chacha mnaanza kufuata nyayo za prof. .... .... khe khe kheeeeeeee
 
Leo nimeona kwa mara ya kwanza Mzungu kuwa na mwanya. John Adam, team captain wa Blackpool anao. Duh!
Back to sport: leo hawa tunawafanya kitu tulichowafanya B'ham.
 
Leo nimeona kwa mara ya kwanza Mzungu kuwa na mwanya. John Adam, team captain wa Blackpool anao. Duh!
Back to sport: leo hawa tunawafanya kitu tulichowafanya B'ham.

Are u sure?????????????? Naomba matokeo as it stands......
 
Hahahahaaaazaaa................Cha pili.....nadhani wao ndo watawafanya kile mlichowafanyia B'Burn
 
Mda bado wa kuanza kuwatukana kina Runi. Ila 2nd half tunafanya come back ya kufa mtu.
 
Back
Top Bottom