The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Kama kawa tunaendelea kusonga
Pamoja na kufanya fitina kusingizia uwanja mbovu ili kuepuka kipigo,tayari tuna point 3 za OT.Mjitahidi kufukuzia nafasi ya Champs leagueTafadhali tutunzieni hiyo bikra tuje ibandua wenyewe mabingwa, si vema kumkuta mchumba kashaharibiwa.
Pamoja na kufanya fitina kusingizia uwanja mbovu ili kuepuka kipigo,tayari tuna point 3 za OT.Mjitahidi kufukuzia nafasi ya Champs league
mechi mpaka may kama mkipita kwenye fa cup....maana mechi na Reading iko march 1st.Hata wewe unajua kwamba tukifanya vibaya sana tutamaliza wa pili....tafadhali kumbuka kutunza bikira mpaka utakapokutana na mabingwa.
![]()
Out in the cold: Patrice Evra has been banned since France's World Cup debacle
Huyu anatakiwa kubaki hapo OT kuwafundisha vijana wawe na spirit kama alivyokuwa yeyeGary Neville announces retirement
After almost TWO decades of playing for Man Utd finally, Mzee Mzima ameamua kutundika daruga. Of coz, recent he was disgusting (for most of us) the way he plays, lakini we have to credit him for being superb kwa miongo yote hii miwili. Kwa Liverpool na Arsenal fans nadhani this time hawatapata ile ishara ya finger ya katikati. Viva Gary Neville!
Man Utd defender Neville announces retirement - ESPN Soccernet
View attachment 21902View attachment 21903View attachment 21904
Ndugu yangu Wacha ,tatizo la France lilikuwa ni hiyo FA yao sijui kwa nini walimuongezea mkataba Raymond Domenich ambaye alisababisha mgawanyiko mkubwa kwenye timu pamoja na kuwaacha wachezaji kama Mexes,Frey,Benzema,Nasri.Simlaumu Blanc kwa kumuacha Evra sababu ameambiwa na Waziri wa Michezo jamaa asirudi lakini ukweli Evra ni beki bora wa kushoto hapa duniani![]()
Out in the cold: Patrice Evra has been banned since France's World Cup debacle
Hiyo ndio tofauti ya Chelsea na Manu wewe unawaza kuondoa bikra mimi nawaza kupata ubingwa wa 19Hata wewe unajua kwamba tukifanya vibaya sana tutamaliza wa pili....tafadhali kumbuka kutunza bikira mpaka utakapokutana na mabingwa.