Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa hiyo it is safe kusema kuwa Rooney amepoteza nafasi kwenye starting eleven?
 
Wakuu vipi Southampton 1 - 0 Manure halftime ..... .... Vipi? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mtakoma ubishi ingizeni vinara wenu mtakwenda na maji.
 
Wakuu vipi Southampton 1 - 0 Manure halftime ..... .... Vipi? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mtakoma ubishi ingizeni vinara wenu mtakwenda na maji.

Mkuu Wacha1, bado ngoma nzito hii..utaona ikifika dakika 60 kama bado MANU wako nyuma basi yule SAF kiti kitakuwa hakikaliki tena na ataanza malalamishi dhidi ya waamuzi....ndiyo zake hizo. Naifuatilia mechi hiyo kwenye luninga.
 
Niliwapa mda BB Na Wacha1 mmalizie mechi hapa barazani kwetu lakin naona mmekufa na vijiba vya roho, sijui nyuso zenu mmeenda zifichia wapi.
Vp nyie, FA raundi ya tatu mnacheza na nan?...Lol!
 
Ohh! sori...kumbe refa alitubeba. Chicha alikuwa offside lile bao la pili.
 
Niliwapa mda BB Na Wacha1 mmalizie mechi hapa barazani kwetu lakin naona mmekufa na vijiba vya roho, sijui nyuso zenu mmeenda zifichia wapi.
Vp nyie, FA raundi ya tatu mnacheza na nan?...Lol!

Whoever comes mate, we are ready ...... ...... ...... hatutegemei kubebwa kwa sanda.

Ohh! sori...kumbe refa alitubeba. Chicha alikuwa offside lile bao la pili.

Khe khe kheeeeeee mechi ilikuwa mbofu mbofu tu nilikuwa namtazama yule dogo mliyemuwekea kauzibe kuja Emirates nimemuona sio mali kitu hicho kidonge cha £10 million bora mmchukue old trafford chichi Ryo anatufaa zaidi kwa siku za usoni. Nilikimbilia kwenye golf mkuu ... ..... ..... .....
 
I hate Man Utd...But the truth will always stand, Jamaa wakiwa wanatafuta win wanakua serious especially in front of their opponent goal than any team in EPL so far..the last two games proves this.....Ukiangalia game ya Manure Vs B'Pool and the y'day game ndo utajua hawa Jamaa wana Njaa ya ushindi kiasi gani....jana last quarter was cracking, energetic and professional football..That Chicharito shows how a great finisher is suppose to be...berbatov is now in form but Nani and Gigs were the driving force coz their sub showed the difference btn the two teams.....I cant really say when this unbeaten run will end....Only Arsenal can beat u guys when u visit EMIRATES...CONGRATULATIONS
 
When i see Chicharito playing, he reminds m of Ole 'Gunner' Solkjaer, 'bby face', 'super sub'. Dogo n bomba la finisher.
Jumapili njema waungwana.
 
167010_10150092696866713_681871712_6613839_440153_n.jpg

Leo Runi anabikir rasmi karamu yake ya mabao EPL. Kanyaga twende manure.
 
umeona goli la vidic...kudadeki kipa hakunusa ile kitu.
 
Haya, alamsiki wakubwa. Tuko juu bado na bikra yetu.
 
Hongera zenu akina Manda, BJ, Eqylpz, Belo et al, naona leo kaka-kuona Wine Rooney ameamka fresh.
 
Hongera zenu akina Manda, BJ, Eqylpz, Belo et al, naona leo kaka-kuona Wine Rooney ameamka fresh.

Jana na leo ndio siku za ku-bury bad news ...ngoja ifike weekend ....
 
Glory MAN UTD :clap2:!!

Kwa wadau wote wa soka ,katika pita pita zangu za maisha nimegundua kuwa MAN UTD inachukiwa na watu sana. Haters wengi huwa hawana sababu madhubuti.

Wengi wanaona MAN UTD inapendelewa ingiwa timu nyingi zikipata situation similar wao wanaona ni fair na huo ndo mpira.

Je ni kweli MAN UTD wanapendelewa kuzidi timu zote? au

Luck favours the brave
 
Back
Top Bottom