Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unaangalia mpira wewe? Goli la 2 na 3 ni makosa ya LB...

ni kweli LB aliruhusu mipira iliyozaa magoli yote matatu,la kwanza akishindwa kumkaba Mandzukic,lakini goli la pili na la 3 Vidic anabeba lawama kubwa kwa sababu yeye ndiye alikuwa wa mwisho akikabana na wafungaji man to man!ni kazi ya CB kuwa na marking ya hali ya juu,kwani kiwango cha full backs kama Evra kufanya makosa huwa ni kikubwa kwenye mechi za pressure kama hizi kutokana na kuwa na kazi nyingi uwanjani.Sasa ukiwatazama Bayern walikuwa wakipeleka counter kwa kutumia wingi ya kushoto iliyokuwa inadondosha mipira mirefu ya ghafla upande wa kulia kwa Roben.Roben akawa kila wakati anamkuta Evra akiwa hajatulia akili baada ya kushuka toka mbele,with such a tense situation,ni kazi ya CB kusoma mashambulizi ya wapinzani akagundua wapi wanapitisha mipira na kujiandaa kublock,akiwa na marking kubwa!sasa leo Vidic alicover position zote killer passes zilikopelekwa lakini cha ajabu alishindwa kuzuia wafungaji ambao alikabana nao man to man akiwa beki wa mwisho.goli la pili Evra alimpa muda wa kutosha Roben kutoa pasi,enough for Vidic to foresee the danger and prepare,Roben akapeleka mpira katikati ya miguu ya Vidic na Mueller,..Vidic akashindwa kukaba.Goli la pili Evra again kapitwa na Roben,Vidic akawa wa mwisho kukaba,akampa nafasi ya kutosha Roben kutafuta position ya kupiga,na mpira ukawa deflected na Vidic!sasa kazi ya CB ni nini ikiwa anashindwa kuzuia mipira ya mwisho tena akiwa kwenye nafasi sahihi kuizuia na kurekebisha makosa ya wenzie wenye kazi nyingi uwanjani?Evra kashindwa kumkaba Roben,lakini ni mzuri kushambulia na ametupia goli,what about Vidic,kafanya nini uwanjani leo?ni kawaida concentration ya fullback kuwa low kwenye defence kutokana na fatiki za kukaba,kukimbia na kushambulia frequently,CB anatakiwa kufill hiyo vacuum whenever necessary with accuracy kwenye maamuzi,high defensive concentration na marking ya hali ya juu kwenye mipira ya mwisho na wafungaji.Ukitazama uchezaji wa Vidic na Evra leo,wote wamefanya makosa,lakini ni nani alikuwa ngao ya mwisho mwenye kazi ya kuzuia madhara ya makosa ya wenzie?je,alipata nafasi hiyo ya kuzuia makosa?aliitumiaje?
 
Whatever the score, I will be very proud of my team...

#GGMU

....hongereni na poleni watani,
It's only a game...mmepigana na kufa kiume....lile goli la Evra dahh...

Anyway, there's always next time,
Pole za dhati ziwafikie Belinda jacob Nzi, Belo, mfarisayo, Mndengereko, Manda.... Opppsss ?! Hivi Manda , Mahesabu waliishia wapi?!

Sijawasikia longtime!
#TeamMburukengeUnited na David moyes, you'll always come back stronger nxt season!

#BigUp ! 👍

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
ni kweli LB aliruhusu mipira iliyozaa magoli yote matatu,la kwanza akishindwa kumkaba Mandzukic,lakini goli la pili na la 3 Vidic anabeba lawama kubwa kwa sababu yeye ndiye alikuwa wa mwisho akikabana na wafungaji man to man!ni kazi ya CB kuwa na marking ya hali ya juu,kwani kiwango cha full backs kama Evra kufanya makosa huwa ni kikubwa kwenye mechi za pressure kama hizi kutokana na kuwa na kazi nyingi uwanjani.Sasa ukiwatazama Bayern walikuwa wakipeleka counter kwa kutumia wingi ya kushoto iliyokuwa inadondosha mipira mirefu ya ghafla upande wa kulia kwa Roben.Roben akawa kila wakati anamkuta Evra akiwa hajatulia akili baada ya kushuka toka mbele,with such a tense situation,ni kazi ya CB kusoma mashambulizi ya wapinzani akagundua wapi wanapitisha mipira na kujiandaa kublock,akiwa na marking kubwa!sasa leo Vidic alicover position zote killer passes zilikopelekwa lakini cha ajabu alishindwa kuzuia wafungaji ambao alikabana nao man to man akiwa beki wa mwisho.goli la pili Evra alimpa muda wa kutosha Roben kutoa pasi,enough for Vidic to foresee the danger and prepare,Roben akapeleka mpira katikati ya miguu ya Vidic na Mueller,..Vidic akashindwa kukaba.Goli la pili Evra again kapitwa na Roben,Vidic akawa wa mwisho kukaba,akampa nafasi ya kutosha Roben kutafuta position ya kupiga,na mpira ukawa deflected na Vidic!sasa kazi ya CB ni nini ikiwa anashindwa kuzuia mipira ya mwisho tena akiwa kwenye nafasi sahihi kuizuia na kurekebisha makosa ya wenzie wenye kazi nyingi uwanjani?Evra kashindwa kumkaba Roben,lakini ni mzuri kushambulia na ametupia goli,what about Vidic,kafanya nini uwanjani leo?ni kawaida concentration ya fullback kuwa low kwenye defence kutokana na fatiki za kukaba,kukimbia na kushambulia frequently,CB anatakiwa kufill hiyo vacuum whenever necessary with accuracy kwenye maamuzi,high defensive concentration na marking ya hali ya juu kwenye mipira ya mwisho na wafungaji.Ukitazama uchezaji wa Vidic na Evra leo,wote wamefanya makosa,lakini ni nani alikuwa ngao ya mwisho mwenye kazi ya kuzuia madhara ya makosa ya wenzie?je,alipata nafasi hiyo ya kuzuia makosa?aliitumiaje?

umetumia muda mwiingi kumpa maelezo stahiki.

Mtie singi tu.
 
Pole sana Man United.

Kwa kweli nilipenda Man United kwa faida ya timu za England angalau wafike hata Semi-final ya haya mashindano ya UEFA Champions League.

Kuna watu wanaosapoti timu za England lakini kwa kutokuelewa wanafurahia Man United kuondolewa katika mashindano haya bila kufahamu kuwa, kwa kufanya hivyo, nafasi nne za timu za England kuingia kwenye mashindano haya zinazidi kupungua na kuna hatari kubwa pale utakapofanyika mkokoto (review) mwingine katika kuangalia ushindani wa timu za Europe kwenye hiki kikombe kati ya nchi na nchi, kuna hatari England ikajikuta inapewa nafasi tatu badala ya nne.

Kwa mtu anayefahamu maana hii lazima ataanza kupatwa na wasiwasi. This is sad reality.

Kama ligi yao ni dhaifu kwa nini waendelee kupewa nafasi nne.Tunataka wenye uwezo ndio wapate nafasi for the good of football.
 
How many years do you want more professorial club management??? I think next year under Wenger gooners will win the UCL, EPL and FA cup.

Give him another chance please...

Chief pole...bana ulikuwa unatusumbua sana wakati wa Tittle ya 20 EPL kwenye thread yetu....after all mi sijaonekana muda mrefu toka tukiwa tuko vizuri kbs mwanzoni mwa league...sababu zilizo nje ya uwezo wangu...nimerudi....

Le proffesor anaondoka....najua unataka aendelee kutuvuruga...#teammburukenge !!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Duuh! Poleni saana ndugu i thought u will win the UCL ili msimu ujao mshiriki CL kama mabimgwa watetezi.
 
Floppy of the day alikua Rooney...sasa sijui kati ya Rooney na Moyes nani ni mkubwa wa timu..I expected Moyes kuona Rooney was not in a game na kumutoa mapema hivi Moyes kama kusoma hajui hata kuangalizia nako hawezi...kocha wa Chelsea juzi kafanya critical sub mapema sana na kubadili atmosphere ya game no wonder anaitwa "the special one "
Goli la kwanza la bayern caught us off guard which sometimes utokea kwa timu yeyote ingawa ni uzembe lakini mi concern yangu why did we stretch out after that goal...tulichange game plan yetu kabisa ikawa open game and tukaanza kuwa exposed vizuri na full backs wetu hao tia maji maji unategemea nini...
Mimi sijawai cheza mpira au kuwa kocha ni mshabiki na mpenzi wa mpira tu tena wa kawaida sana ila mapungufu ya Manchester kipindi cha pili yalionekana wazi kabisa nilitegemea Moyes angeyaona mapema na kuyatatua...ila alibaki tu anatoa macho utafikiri mchawi kafumaniwa..
Swali la kujiuliza sisi mashabiki wa MUFC is he the right person for the job..?? Can we trust him kumpa another chance..toka amepewa timu tumekua tukifungwa either kwa sababu kashindwa kupanga kikosi vizuri au kashindwa kuja na game plan nzuri itakayo suit kikosi alichonacho...
Washabiki wa MUFC let us face the reality here kupack bus it's not Manchester's way our DNA is made up of attacking football so hizi story za tumecheza vizuri ni kwasababu hatukua tumefungwa na it was a matter of time bayern wangepata goli...
Swali la mwisho la kujiuliza "ni kweli Everton ina kikosi bora kuliko kikosi cha Man U au wanakocha bora..??"
Kinachoniuma ni kwamba before jana I started give myself some false hopes eti tutabeba CL eti tutawafunga bayern nikasahu kabisa kwamba tulishindwa kuwafunga Fulham..dah silly me..
Aya bwana sio tunaosema Moyes #thewrongone #Moyesout tunaitwa Glory hunters na sio mashabiki wa kweli wakati wimbo wa timu tunaimba wote Glory Glory Man United..
 
DonDonald,Nzi,Belo tutakutana Europa league mwakani. Poleni sana wakuu mmekufa kama sisi, kumbukeni kifo ni kifo kije mapema au late bado ni kifo.

We will be back stronger,Hakuna haja ya kushiriki Uropa itatuchosha bora tusishiriki michuano ya ulaya next season tu-concentrate na ligi.Tatizo lenu nyie Wenger hana jipya
 
Hahaaaa m concentrate na nafasi yenu ya kudumu ya 7...hahaaa namuona kocha wenu ka concentrate sana
 
Attachments

  • 1397122301701.jpg
    1397122301701.jpg
    39.9 KB · Views: 85
Katika timu zote zilizoingia robo fainali kwangu niliona Bayern ndio vibonde na niliombea kupangwa nao,Man United tumeshindwa wenyewe kuwatoa ingawa kwa uwezo wa kocha wetu tumejitahidi sana wengi walijua tutafungwa magoli mengi.Kama tungepangwa na timu nyingine huenda tungetolewa tangu game ya kwanza
Game ya kwanza Wellbeck alipata nafasi akaipoteza,jana Rooney kapata nafasi badala ya kumpa Kagawa akalazimisha kupiga,katika hatua kama hii zile nafasi sio za kuchezea kabisa.Jana timu ilicheza vizuri kipindi cha kwanza but uzembe wa Evra na Vidic tukafungwa magoli ya haraka,Rooney hakuwa fit na hakustahili kucheza jana.Positive ni viwango vya Smalling na Jones,hawa vijana watatusaidia sana tunahitaji left back na CB moja mzoefu wa kuwasaidia hao vijana
Still naaamini Moyes anahitaji kupewa msimu ujao tumpime vizuri.I hope Chelsea au Atletico mmojawapo atakuwa bingwa
 
Heko kwa maelezo murua! Mimi nakubali kumpa muda DM, kwa mipango ya usajili inayozungumzwa katika klabu, hakika tutarudi the strongest.....watu wanamwona Maureen ni bonge la kocha, sikatai...lakini ebu apewe timu isiyo $$$$ na tuweze kuona hata kama top 10 ataingia!! Hivyo kwa uwezo wa DM, akapewa wachezaji wakali wa ziada kama wanne hivi, basi #ManUnited itarudi kwenye utawala wake na kuzidi kuwauzi akina Mbu kashengo Mentor Balantanda BAK (huyu sijui kapotelea wapi, dah!) Kigogo na #MburukengeOrijino wote......

Kasoro hapo kwenye bold, hao jamaa wakishinda UCL Maureen atachonga sana ngenga....ila nakubali Atletico anastahili kabisa...Simeone ni noma...hadi Uefalona kaloweshwa?! Shikamoo Mr. Diego Simeone.
 
.....hehhee, #Ameen , nami naombea kweli muendelee naye #MoyesTheTinker tuendelee kucheka Humu!

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom