RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,785
- 129,601
Katika timu zote zilizoingia robo fainali kwangu niliona Bayern ndio vibonde na niliombea kupangwa nao,Man United tumeshindwa wenyewe kuwatoa ingawa kwa uwezo wa kocha wetu tumejitahidi sana wengi walijua tutafungwa magoli mengi.Kama tungepangwa na timu nyingine huenda tungetolewa tangu game ya kwanza
Game ya kwanza Wellbeck alipata nafasi akaipoteza,jana Rooney kapata nafasi badala ya kumpa Kagawa akalazimisha kupiga,katika hatua kama hii zile nafasi sio za kuchezea kabisa.Jana timu ilicheza vizuri kipindi cha kwanza but uzembe wa Evra na Vidic tukafungwa magoli ya haraka,Rooney hakuwa fit na hakustahili kucheza jana.Positive ni viwango vya Smalling na Jones,hawa vijana watatusaidia sana tunahitaji left back na CB moja mzoefu wa kuwasaidia hao vijana
Still naaamini Moyes anahitaji kupewa msimu ujao tumpime vizuri.I hope Chelsea au Atletico mmojawapo atakuwa bingwa
kwa kweli kwa kiwango cha msimu huu kutolewa 1/4 final champions league sio mbaya,ila jinsi tulivyotolewa ndio issue.
bayern wameonyesha kuwa sio timu tishio kama wengi walivyodhani!kuna wapinzani walikuwa wanajua tutafungwa sijui 10 just because barcelona alifungwa 4+3!mpira hauko hivyo
kwa kweli jones na smalling wana potential...huyu smalling huwa nabishana na man utd wenzangu sana,wengi hawamkubali ila mimi namkubali sana akiwa CB ila akiwa RB ndio kidogo anapwaya kwa sababu hana skills za kupanda kama rafael au evra hivi
Moyes can do the job,vijana wameonyesha kuimarika kadri siku zinavyoenda,katika mechi zetu za ugenini leo ndio tumefungwa baada ya mechi kama saba hivi
tuko 7pts from CL 4th place tukikomaa tunaweza kuwa na last laugh,trust me hatumalizi wa saba sisi,tukikosa sana tunamaliza wa tano,naamini nafasi ya nne tunaweza kuipata 7 point gap sio kubwa kivile ukitilia maanai hao wa juu yetu wanaanza kujikwaa kila mechi.
hatuna game yoyote mpaka tarehe 20 tutakapovaana na everton ambao naamini tunaweza kuwafunga palepale kwao,Moyes awapeleke vijana Dubai wakapate sunshine wakirudi wako fresh kutafuta nafasi ya nne
angalia fixtures
everton:
sunderland[a]
palace[h]
man utd[h]
s'ton[a]
man city[h]
hull[a]
man utd
everton[a]
norwich[h]
sundeland[h]
hull[h]
s'ton[a]
arsenal
w ham[h]
hull[a]
n'castle[h]
wes brom[h]
norwich[a]
tottenham
wes brom[a]
fulham[h]
stoke[a]
w ham[a]
a.villa[h]]
GGMU