Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

moyes anarudi kwenye chat yake ya kupondwa leo....subirini watarudi hapa ooh kafanya sub za ajabu ajabu nk tusubiri
 
Leo ndo mtaitambua Bayan

Mtu kula samaki sio story ila samaki kula mtu ni BONGE LA STORY...
sasa iko hivi Bayan kuwafunga Man U sio jambo la kushangaza sana hata siye washabiki wa MUFC tunajua hilo ila sasa Man U kamshinda bayan na kumtoa...weee mbona mtaani kesho hapatakalika...
 
Leo ndo mtaitambua Bayan

Kwi kwi kwi kwi kwi siku hizi nahis wacheza kamali ulaya watakua wameifanya team ya kujitabira na kuingiza pesa!!maana Kwasasa unaweza muambia mtu ata aweke jiwe we uweke nyumba, maana ni taabu aaiseeee
 
UEFA wabishi hawa kama alivyo Sepp Blater. Hawataki kabisa kuondoa hii sheria ya mid 1960 ya goli la ugenini

Wadau wengi wa soka tunapiga kelele wee aha wapi jamaa wemiziba masikio

Nakumbuka Wenger 2008 alilizungumzia katika kikao kule Viena,

Haya miaka 6 mbele bado tunayo hii sheria isiyokua na msingi wowote wakati huu
 
Mpira una maajabu yake, punguza presha leo tukipata gori la ugenini imekula kwao

Hili linaloitwa goli la ugenini ni janga katika mfumo wote wa UCL.

UEFA WANATAKIWA WAFUTE HII SHERIA IMEPITWA NA WAKATI,PIA INAUMIZA TIMU PINZANI

GOLI HEWA SIYO ZURI TULIPINGE WADAU

GUDOO LUCKYOO MAN U N BAYERN MUNICH kajisemea Mnaijeri
 
attachment.php
 
For my own selfish reasons leo nitashabikia Man useless mshinde..hope yangu ni kupangwa nanyi semi finals.
 
Hii ndio match ambayo matokeo yote kupiga mtu na kupigwa mtu vitanifanya nisilale..!!
Ila naombea tushinde ili kukesha kuwe kwa aman
GGMU
 
Back
Top Bottom